Wachaga!sio watu hata kidogo!

Wachaga!sio watu hata kidogo!

Ngoma yao ukicheza lazima ushikwe mkono ili usimsachi mwenzio! Wachaga hooyeeee!
 
Hivi ni kweli sasa hawa ni wadudu ndege au mashetani mbona mimi naishi nao?

kama unaishi nao basi jibu unalo huna haja ya kuuliza..

Ila sisi ni wajanja bana Tanzania yote ingekuwa ya wachagga ingekuwa ulaya..
 
Hivi wachaga ndo wanyama gani na wapo mbuga gani.
 
pale chuoni kila mchaga anataka akafanye kazi TRA au Bank Kuu hata kama kasomea ualimu
 
hahaahahaahahahhha aa aah aisee mangi ni soo....hakuna kitu cha bure ati....lazma utoke jasho arif....
 
Wachaga wote waliokuwepo katika skandali ya EPA wamesharudisha fedha zote ila wamatumbi wote bado. Inference ni nini? Wachaga pengine waaminifu sana?
 
Ngojea atokee kalumanzira hapo halafu azigandishe juu zote kama hajalia
 
Maskini tulo wachaga sijui hata kwa nn hatupendwi! Lakini hayaaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom