Recent content by idumu

  1. idumu

    Kwanini Tanzania wasomi wengi ila ICT tunaongozwa na Wahindi?

    Hapa tusilaumiane maana, Ukimaliza chuo mfano UDSM au UDOM, U need capital. Je utakuwa na capital?? ili uweze kuanzisha business. Pia Kumbukeni wenzetu wahindi wanaoongoza kwa rushwa, Tender ikitangazwa wako tayari kutoa kidogo, Mtz halisi yupo tayari na yeye kama ana IT company?? Pia wenzetu...
  2. idumu

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Jamani me napenda kutoa dukuduku langu kuwa hivi kutembeza mwenge nchi nzima kuna umuhimu kweli kwa sasa? Hatuna zahanati za kutosha, Madarasa ya shule hayana viti wala vifaa vya kishule. Lengo la mwenge ilikuwa kujikumbusha UHURU WETU na kujenga umoja na mshikamano, Lakini ukiangalia tuna...
  3. idumu

    Loliondo, OBC, Dowans: The disturbing connection and secrets

    Serikali yetu ni aibu sana, Mwarabu ok amewekeza, je kuna haja gani ya Wamasai kuwafukuza, Wana miaka mingapi humo porini?? Na huyo mwarabu anatafuta nini?? Hao falme za kiarabu waache hizo?? Kikwette kama unasikia fukuza hao?? Haraka. Pata hizi doc kutoka kwa wanaharakati. "TZ BILA KIONGOZI...
  4. idumu

    Lilondo ni wezi tu na uonevu

    Issue ya Lilondo ni mwendelezo wa UFISADI HAPA NCHINI, Mheshimiwa Mwinyi ndo aliingiza ufisadi na Mwl Nyrere KUFUMBA MACHO MASUALA AMBAYO MWINYI ALIYAFANYA. Mwinyi aliwapa waarabu na kumiliki sehemu huko LILONDO ARUSHA NA HAKUNA MTZ ANAYEWEZA KUINGIA HUKO. Ukitaka waandishi wa habari mko...
  5. idumu

    CCM: Je, bado ni chama cha wakulima na wafanyakazi?

    WATANZANIA WAJINGA, NGOJA TULIWE MAFISADI HWALIPI BILL YA UMEME< MAJI NA KODI ZOTE, wa hali ya chini
  6. idumu

    Arsenal Vs Manchester United

    Ni Manchester UTD vs Arsenal hujui nani yupo home na away?? Game simple tu hiyo wala haina jipya
  7. idumu

    Kibanda: Naliona anguko la Zitto Kabwe!

    NDUGU ZANGU, MIMI KAMA MWANACHADEMA SINA IMANI NA ZITTI AKIPITA KUWA M/KITI ATATUMIWA NA CCM KUKIUA CHAMA CHETU. NAFIKIRIA HIVYO MAANA KWENYE KAMATI YA MADINI AMEHARIBU. Msimamo wa zitto umepungua tangu aingizwe kwenye kamati ya madini. Hii TZ ni noma sana sidhani kama akili zetu ni njema...
  8. idumu

    Itv muonyeshe uefa champion league mwaka huu

    Dear ITV, Tunawaomba mwaka huu murushe michuano ya UEFA CHAMPION LEAGUE MAANA NYINYI NI UHAKIKA ZAIDI kwa sababu CHANEL TEN WANATUBOA SANA, HAWAKO SERIOUS NA KAZI ZAO. WEWE UTAONYESHA MPIRA LIVE WAKATI NI RECORDED. IS IT FAIR?? ME NAOMBA ITV WAFANYE KAMA MIAKA YA 2004 etc IT WAS BETTER. NA...
  9. idumu

    Tido Mhando na Ubinafsishaji wa TBC kwa StarTimes

    Jamani haya ni ya kweli au UZUSHI tu
  10. idumu

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    Nadhani Ole sendeka na Selelii wanasakamwa sana hii ni kutokana na Serikali Ya CCM kushindwa kuendesha nchi. Wizi umezidi mno kila idara ni ufisadi tu. Hii nchi inatisha kwa afrika jamani pia SPIKA WA BUNGE njoo chadema na wanaCCM mashuhuri mje CHADEMA jamani tuiondoe CCM maana tumechoka na...
  11. idumu

    Kingunge amechanganyikiwa?

    NI FISADI SANA, PARKING ZOTE MJINI NI COMPUNI YAKE. NA MAKAO MAKUU YAPO VICTORIA KAMA UNAENDA MWENGE. akae kimya tu. Wala hatutaki kumskia mambo ya nyerere ni zamani
  12. idumu

    Tanesco waweza tumia haya maporomoko kuzalisha umeme

    MTO LUVANYINA KATA YA KIPAGALO TARAFA YA BULONGWA WILAYA YA MAKETE, Hospitali ya Bulongwa unazalisha umeme huu kwa bei nafuu na mto huu haukauki throughout the year!! ONA PICHA ZAKE
  13. idumu

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Ni kweli watu wanachanganya vatikani na mahakama ya kadhi. Kwa nini WAISLAMU MSIENDESHE HIYO MAHAKAMA MNATAKA SERIKALI, HAMNA UWEZO NINI?? Kaane pembeni msiharibu nchi yetu.
  14. idumu

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Kuundwa kwa kamati ya kushugulikia hili suala kutokana na agizo la WAZIRI MKUU ni dalili tosha ya Serikali kunyoosha mikono na kukubali. Kwa nini serikali yetu haina misimamo kwenye maamuzi?? Kodi iliondoa baada ya kupata shinikizo hili nalo vile vile. Kweli tuna viongozi hapa.
  15. idumu

    Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski

    Mwarabu kuwepo si tatizo?? nani mmiliki?/ Kama tunavyojua mmiliki wa Kempiski, ngurudoto etc?? Na sisi hatujui nani anamiliki tunapeana changamoto!! Si vibaya kuwa na mmiliki kikubwa sheria zifuatwe. Bless
Back
Top Bottom