Tanesco waweza tumia haya maporomoko kuzalisha umeme

idumu

Member
Jun 5, 2009
44
1
MTO LUVANYINA KATA YA KIPAGALO TARAFA YA BULONGWA WILAYA YA MAKETE, Hospitali ya Bulongwa unazalisha umeme huu kwa bei nafuu na mto huu haukauki throughout the year!!

ONA PICHA ZAKE
 

Attachments

  • DSC02960.JPG
    DSC02960.JPG
    513.1 KB · Views: 90
  • DSC02942.JPG
    DSC02942.JPG
    525.4 KB · Views: 75
Mkuu mto huu unaonekana ni mdogo sana na wakianza zaliashia umeme tu utakauka!
 
Huu mto me naufahamu, Maji yake yanatoka milimani huko milima ya livingstone. Mpaka sasa unazalisha umeme tarafa ya Bulongwa - makete.

Tembea kauone. Si mtaalamu sana, Waswedeni wamefua umeme hapo ambao unawasha tarafa yote na hospital ila mitambo iliyopo ni duni!!!
 
Tanesco sidhani kama wanatafuta new sources za energy.Wapo busy wanauziana nyumba, mara wanatengeneza dowans. Kama ingewezekana, hili shirika lilitakiwa lisukwe upyakama walivyosuka TRA miaka ile ya tisini ili kulipa uhai.Waliopo sasa hawana uwezo huo.
You can't teach an old dog new styles...hayo ni maneno ya DR Rashid lakini sio mimi
 
MTO LUVANYINA KATA YA KIPAGALO TARAFA YA BULONGWA WILAYA YA MAKETE, Hospitali ya Bulongwa unazalisha umeme huu kwa bei nafuu na mto huu haukauki throughout the year!!

ONA PICHA ZAKE
5612d1250493999t-tanesco-waweza-tumia-haya-maporomoko-kuzalisha-umeme-dsc02960.jpg
5613d1250495006t-tanesco-waweza-tumia-haya-maporomoko-kuzalisha-umeme-dsc02942.jpg

Na investment cost haitakuwa kubwa.

Lakini kwa Tanesco tunaowajua, vijimiradi vidogo kama hivi ulaji hakuna hivyo hutaona mtu anfikiria.
 
Back
Top Bottom