Lilondo ni wezi tu na uonevu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lilondo ni wezi tu na uonevu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by idumu, Aug 27, 2009.

 1. idumu

  idumu Member

  #1
  Aug 27, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Issue ya Lilondo ni mwendelezo wa UFISADI HAPA NCHINI, Mheshimiwa Mwinyi ndo aliingiza ufisadi na Mwl Nyrere KUFUMBA MACHO MASUALA AMBAYO MWINYI ALIYAFANYA. Mwinyi aliwapa waarabu na kumiliki sehemu huko LILONDO ARUSHA NA HAKUNA MTZ ANAYEWEZA KUINGIA HUKO. Ukitaka waandishi wa habari mko wapi??Mjiri huko mjionee falume za kiarabu wanakula kuku na mtz harusiwi kuingia huko.

  Mwenye data nzuri azimwage hapa me nimepata hizi kupitia kwa mdau aliyeko huko.
   
Loading...