Tido Mhando na Ubinafsishaji wa TBC kwa StarTimes | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tido Mhando na Ubinafsishaji wa TBC kwa StarTimes

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Game Theory, Aug 26, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Aug 26, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  [​IMG]


  Tido Mhando ambaye alipewa nafasi aliyonayo baada ya kufanyakazi kule BBC SWAHILI aliingia TBC kwa manjonjo yasiyo na kifani na sasa kuna habari kuwa apart from UFISADI uliokuwa unaendelea chini yake pale TBC huyu mheshimiwa amekuwa akinfluence ajira UNFAIRLY na ufisadi ulioipelekea TBC kupoteza mabilioni ya shilingi na hakuna aliyechukuliwa hatua yoyote ile.


  Sasa kuna hii ya TBC kuuzwa kinyemela chini yake kwa waChina na yeye kama kiongozi kwa kusudi ameamua kukaa kimya bila kuwaarifu wananchi ambao ni wadau wa hii TBC kulikoni. Lakini kabla hatujaendelea na hayo hebu turudi nyuma kidogo na kumtazama TIDO alikuwa na vision ya namna gani kuhusu TBC ndipo tutaamua kuendelea

  Kwa kuanza tuu TIDO kwa sababu alitokea BBC akili yake alijiona kuwa anaweza akairestructure TBC katika mfumo wa BBC na zaidi huyu mheshimiwa alijiona kuwa yeye ndiye atakeykuwa ni REITH wa Tanzania..lakini akasahau kuwa huko alikotoka BBC pamoja na wengine lakini mission statement yao iko wazi kuwa wana EDUCATE,INFORM and ENTERTAIN the public lakini kwa Tido hilo halipo sana sana TBC imekuwa kama vile chaka la ma incompetents. Pesa na vifaa vya kisasa vyote walivyonavyo wameshindwa kutengeneza vipindi ambavyo vinamvuto kwa walipa kodi ambao walitakiwa kuwa ma stakeholders wakubwa wa TBC !

  Mbaya zaidi ukitazama TBC zote 1 & 2 utafikiri unatazama zile documentary za 1980's ambazo unaona kabisa sauti na picha haziendani...ukitazama KTN ya Kenya na TBC utaona wazi kuwa tofauti zao ni sawa na mbingu na ardhi! in short TBC inatia kichefu chefu kuitazama na hiyo redio ndio siwezi kuzungumzia kwani its not the same RTD tuliyoizowea, yes kulikuwa na mabadiliko ya lazima lakini Tido kwa kukaa kwake nje muda mrefu kasahu attachment wananchi wakawaida waliyokuwa nayo na vipindi kama vya malenga wetu na kadhalika na kaamua kutuletea watangazaji ambao hata Kiswahili hawajui...kiswahili cha watangazaji kinatia kinyaa kusema ukweli...saa zingine ukisikiliza redio utafikiri unasikiliza FM stations za wa Kenya kwani Kiswahili sanifu hakipo, na wameingiwa na hiyo inferiority complex ya kuchanganya Kiswahili na Kiingereza kule Kenya wanaita "Sheng"

  Ukiuliza avaraje Juma wa mtaani kuhusu TBC atakwambia kuwa its useless and its not woth the public funds, cha ajabu for someone like Tido one would have thought kuwa anaeleewa the meaning of PUBLIC SERVICE BROADCASTING lakini wapi!

  sasa hivi kupitia ma swahiba zake wameamua kuiza TBC kinyemela and i wonder whats gonna be next for Tido and his team of mediocres ambao wanakula pesa zetu kusaidiana na MKUCHIKA...stay tuned kuona watakavyoita press conferences za kutetea huu utumbo wao

  Hlaisi ameuliza maswali haya kwa Mkuchika ambaye sasa hivi kaweza JF kama main page ya computer yake

  Tayari Mkuchika ameibuka na kutoa ufafanuzi lakini hakuna popote alipozungumzia kuhusu mambo makubwa ya msingi.
  -Hakusema kwanini wamewapa Wachina 100% na badala yake amesema kwamba TBC haijauzwa bali imeingia ubia.
  _PPRA wamenukuliwa wakisema hawana taarifa, Mkuchika anadai sheria za PPRA zimefuatwa, na kutaja mamlaka kadhaa zilizohusika.
  _Mkuchika hakusema kuhusu matumizi ya Dola badala ya Shilingi
  _Mkuchika hakusema kuhusu kusajiliwa chapuchapu na hata kukosewa
  _Mkuchika hakusema kuhusu kuzuiwa kwa hisa kuuzwa katika soko la hisa
  _Mkuchika hakusema kuhusu usalama wa masafa yetu kama 65% ziko kwa Wachina
  _Mkuchika hakusema kuhusu Waislamu kutengwa na Agape kujibebesha jukumu
  _Mkuchika hakusema lolote kuhusu TBC kuomba lakini Star Media kumilikishwa
  _Mkuchika hakusema kuhusu maana ya masafa ya umma ni nini  [​IMG]

  hii docs ni kwa hisani ya mwenzetu humu bwana HALISI


  [​IMG]
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
  Last edited: Aug 29, 2009
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  mh, wewe GT!
  TBC imeuzwa kwa wachina?!!!
  lini? kwa nini iuzwe?
  chanzo cha habari yako ni wapi?
  maana hapa usilete habari zisizo na uhakika.
   
 3. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hatushangai sana, serikali ya CCM imejaa mafisadi kila kona!!
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Aug 26, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hiii mpya tena tujuze mwanakwetu
   
 5. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,920
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  GT you have some points. Mimi nikicheck TBC habari sasa hivi wala sielewi hawa jamaa wanakimbilia wapi???? Habari wanatoa haraka haraka na wala hawamalizi ukaelewa undani wa habari. Watangazaji wako kama wanatangaza vitani wakiwa wanajaribu kukimbia mabomu.

  Ukitazama Star tv nadhani hiyo ndo ilitakiwa iwe television ya taifa. Hao jamaa wa star tv kwanza wanacover mikoa mingi sana. Habari zao ni detailed. Wanakupa vitu ambavyo ni vya nchini mwetu. Sasa tbc mara wanabadili ratiba bila kutoa taarifa kisa wanakimbilia mechi tena si za ndani mechi za nje!!!!

  Tbc to me now worth nothing. Bora tv nyingine. Walianza vizuri sana lakini kwa sasa wako ovyo sana. So i see your points.
   
 6. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wamewafanya mpaka wasanii wa ze comedy kufulia mmh.............!
   
 7. idumu

  idumu Member

  #7
  Aug 26, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 44
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tido Mhando ambaye alipewa nafasi aliyonayo baada ya kufanyakazi kule BBC SWAHILI aliingia TBC kwa manjonjo yasiyo na kifani na sasa kuna habari kuwa apart from UFISADI uliokuwa unaendelea chini yake pale TBC huyu mheshimiwa amekuwa akinfluence ajira na ufisadi ulioipelekea TBC kupoteza mabilioni ya shilingi na hakuna aliyechukuliwa hatua yoyote ile.

  Sasa kuna hii ya TBC kuuzwa kinyemela chini yake kwa waChina na yeye kama kiongozi kwa kusudi ameamua kukaa kimya bila kuwaarifu wananchi kulikoni. Lakini kabla hatujaendelea na hayo hebu turudi nyuma kidogo na kumtazama TIDO alikuwa na vision ya namna gani kuhusu TBC ndipo tutaamua kuendelea

  Kwa kuanza tuu TIDO kwa sababu alitokea BBC akili yake alijiona kuwa anaweza akairestructure TBC katika mfumo wa BBC na zaidi huyu mheshimiwa alijiona kuwa yeye ndiye atakeykuwa ni REITH wa Tanzania..lakini akasahau kuwa huko alikotoka BBC pamoja na wengine lakini mission statement yao iko wazi kuwa wana EDUCATE,INFORM and ENTERTAIN the public lakini kwa Tido hilo halipo sana sana TBC imekuwa kama vile chaka la ma incompetents. Pesa na vifaa vya kisasa vyote walivyonavyo wameshindwakutengeneza vipindi ambavyo vinamvuto kwa walipa kodi ambao walitakiwa kuwa ma stakeholders wakubwa wa TBC !

  Mbaya zaidi ukitazama TBC zote 1 & 2 utafikiri unatazama zile documentary za 1980's ambazo unaona kabisa sauti na picha haziendani...ukitazama KTN ya Kenya na TBC utaona wazi kuwa tofauti zao ni sawa na mbingu na ardhi! in short TBC inatia kichefu chefu kuitazama na hiyo redio ndio siwezi kuzungumzia kwani its not the same RTD tuliyoizowea, yes kulikuwa na mabadiliko ya lazima lakini Tido kwa kukaa kwake nje muda mrefu kasahu attachment wananchi wakawaida waliyokuwa nayo na vipindi kama vya malenga wetu na kadhalika.

  Ukiuliza avaraje Juma wa mtaani kuhusu TBC atakwambia kuwa its useless and its not woth the public funds, cha ajabu for someone like Tido one would have thought kuwa anaeleewa the meaning of PUBLIC SERVICE BROADCASTING lakini wapi!

  sasa hivi kupitia ma swahiba zake wameamua kuiza TBC kinyemela and i wonders gonna be next for Tido and his team of mediocres
  Jamani haya ni ya kweli au UZUSHI, Toa maoni yako

  MTAZAMO
   
 8. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2009
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Imeuzwa -- soma Mwanahalisi la leo.
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2009
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280

  niko oslo norway, niwekee hii habari ntaisoma kaka.au nipe link ya mwanahalisi nisome mwenyewe. asante
   
 10. b

  bnhai JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Hata mie nahitaji kuiona kwenye mwanahalisi maana ni mshtuko mkubwa ila naona bado hawajarusha www.mwanahalisi.co.tz
  Incompetencies; jamani ushahidi pia tunahitaji maana siku hizi kila mtanzania ni mwanasiasa na mchezo wa kuchafuana
   
 11. M

  MaxMase JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2009
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 502
  Likes Received: 249
  Trophy Points: 60
  source http://www.newtimes.co.rw/index.php?issue=13967&article=17935  BY JOHN GAHAMANYI & ALEX NGARAMBE

  Star Africa Media, a Chinese company which operates pay TV services in Rwanda is rolling out its operations across other East Africa Community (EAC) countries.

  Leo Hao, the company’s Marketing and Sales Director for the Kigali unit said that Star Africa Media last week acquired an operating license to open units in Uganda.

  According to Hao, the company has already signed partnership agreements with Kenya Broadcasting Corporation (KBC) and Tanzania Broadcasting Corp (TBC) to provide digital TV services in Kenya and Tanzania respectively.

  “Our CEO was in Burundi and we expect to get a license to operate there soon,” he revealed in an interview with Business Times on Friday.

  Star Africa Media started operations in Rwanda last year with an initial financial outlay of above $20 million (Rwf11.3 billion).

  Hao said investments in each of the three EAC countries of Kenya, Tanzania and Uganda will be higher than what was committed in the Rwandan market.

  The media in Uganda on Tuesday quoted Maggie Kigozi, Uganda’s investment Authority Executive Director saying that the company is planning an investment of over $100 million (Rwf56.6 billion) in the Ugandan market.

  “We have to think about the whole EAC as one entity. The people strongly relate to each other in terms of culture,” Hao said.

  The Shandong province (China)-based company said it will also start delivering broadband internet by wireless means in Rwanda starting next year.

  Hao said in an interview that effective July 30, 2009 Rwandan clients will receive a discount of 20 percent on every product purchased including the digital TV sets and the decoder.

  The one moth promotion will see clients enjoy a full month without paying subscription fees as well as paying for decoders and TV sets in installments.

  However, existing clients have been complaining about poor signal they experience.

  “That is sometimes due to the poor signal from channels we broadcast,” Hao explained.

  The company covers the analog, digital network and digital TV technology, cooperating closely with world leading technology
  providers, equipment manufactures and software developers.

  Since the launch of their operations in Rwanda, Hao said Star Media has hit a subscription base of 10,000 clients with a target of 20,000 clients before the year ends.

  Company officials say that provision of digital network and digital TV sets is inline with Rwanda’s vision of digitalizing the broadcast media by 2012. It is also partly aimed at fulfilling the agreement of digitalizing the media as agreed between the company and government of Rwanda.
   
 12. Kaka Mkubwa

  Kaka Mkubwa Senior Member

  #12
  Aug 26, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 154
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Jamani nimesoma mahali kuwa tbc imebinafsishwa, tena kwa wachina halafu utaratibu ni kama hauleweki. Vipi?
   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Aug 26, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,377
  Likes Received: 3,140
  Trophy Points: 280
  vyombo vya kitaifa vimeshindwa kuwa vya kitaifa badala yake vimekuwa vyombo vya ccm hivyo kukosa mvuto kwa watz,sijaona jipya lolote baada ya ujio wa bwana tido zaidi ya kuruhusu mafisadi kama akina Rostam Aziz kumtumia tido na tbc kuwadhalilisha watz na wapiganaji halisi kama R. Mengi.Chombo hiki kimekosa mvuto kwani hakuna jipya...........
   
 14. b

  bnhai JF-Expert Member

  #14
  Aug 26, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Mbona hakuna habari ya kuuzwa? Inaonekana ni partnership. Sasa sijui tukifika kwenye digital inamaana ndio mambo ya TV licence? Kazi kweli au ndio subscrptions kwenye channels. Nadhani hawataminya matangazo yoote na wanania ya kuongeza channels. Tafsiri ya kuuzwa na ufisadi ni ya mbali saana
   
 15. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #15
  Aug 26, 2009
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hata mimi nimesikia leo asubuhi magazetini RFA
   
 16. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  `

  umesoma wapi weka source.
   
 17. m

  mtanzaniaraia Member

  #17
  Aug 26, 2009
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaribu kutoa habari zenye uhakika zingatia sana vyanzo vya habari
  usipotoshe jamii kuwa mwangalifu.
   
 18. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Huo ubia unampa mtu 65% ni ubia wa wapi? Halafu kwanza hiyo kampuni imesajiliwa kinyemela na Tido ndiye Director wakati yeye si mmiliki, yeye ni mwajiriwa kwa mkataba. Wamiliki ni serikali ikiwa chini ya Msajili wa hazina ama bodi. Pia BRELA wanasema imesajiliwa kimakosa maana wamekiuka sheria ya usajili inayotaka kutumia shilingi, wao wametumia dola katika memat yao. Mengine zaidi baadaye lakini inatisha.
   
 19. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #19
  Aug 26, 2009
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Gazeti la Mwanahalisi la leo limeandika, lakini mm nina hakika kwa asilimia 100 na hilo na gazeti la Daily News na Guardian, August 7, 2009.
   
 20. M

  Magezi JF-Expert Member

  #20
  Aug 26, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Duh... mpaka tujue uko wapi? hii balaa au ndo kutamba kwenyewe??
   
Loading...