Habari wadau! Naomba msaada kwa ongoing student ambaye anamkopo kwa miaka miwili iliyopita ila mwaka huu hajafanya application tena baada website ya Heslb kublock; ili kuendelea kupata; 1)hivi ni lazima sana kuapply au kama jina lipo hamna shida tena kule bodi?
2) kama ni lazima ukienda sa...
Hapo kaka umenena...yaan uvivu kutojituma na kupenda kuchagua kazi laini ndo imeturudisha nyuma..ebu fikiria mwanamke wa kihaya mwbie hata atembeze ndiz mjin au afanye umachinga hawawezi...kazi ni kujifanya wanachagua kazi na kutojituma kabisa..kazi ni majungu na kutegemea migomba ambayo sa hizi...
kweli soka la bongo tunababaisha kweli..wametoa maamzi yao ila kikatiba ya TFF na CAF zinapingana kabisa hayo maamzi kutokana na mazingira ya mechi yenyewe., Azam wasikubali wakate rufaa tena na watashinda na Mtibwa kushushwa daraja..wait time will tell kwan viongozi wa Azam ni makini sana.
Ni uamzi sahii, ni vigumu kufundisha timu ambayo imetwaa kila kitu kwenye soka, four years 13 cups na bado anaweza ongeza jingne la 14 kama atachukua Copa delay...ts a club record.Atafute changamoto nyingne.
Inaonesha kabisa hii ishu ni ngeni kwako..jiulize kwanza kwa nini Blandina Nyoni na mwenzake walisimamishwa kazi, ukijua hilo nadhani utajua kwa nini na hawa tunataka waondolewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.