Free StarTV, ITV na Chanel 10 kwenye Star Time

Unatuyeyusha mkuu,haikubali kabisa jipange tena mie king'amuzi changu nilinunua 2010 kipindi cha kombe la dunia.
 
we mbona umatuyeyusha kwn channel ten haipatikani kwnye startym au umeona ss wote ni vilaza?
 
Sina hakika kama hii thread ilishananzishwa hapa, kama ni marudio si mbaya!

here we go!
1. Nenda Menu
2. Changua System Settings
3. Navigate kwenye Channel Search
4. Chagua Manual
5. Kisha weka 514Mhz

furahia siku yako!

Mkuu Mbeya zotee zimegoma nimejalibu 610,474,538 sigino inakubali hakuna chanel inayo ingia msaada kwa mbeya
 
hapa naona itv na star tv ila kuna dialog box inatoka ikibonyeza subtitle kwenye remote na inaondoka. Big up mkuu
 
nipo kibaha nimejaribu 530.570. 478 zote hola napata eatv pekee nifanyeje?
 
Sina hakika kama hii thread ilishananzishwa hapa, kama ni marudio si mbaya!

here we go!
1. Nenda Menu
2. Changua System Settings
3. Navigate kwenye Channel Search
4. Chagua Manual
5. Kisha weka 514Mhz

furahia siku yako!

Nimeweka frequency ya 530 napata chanel 11,saba zina no signal,moja ina ATN audio tu no picture na tatu zinazoonekana EATV,CHN10 na TBC1,any msaada nipate starTV na ITV!!
 
Msiwe wabishi na wapesi wa kulaumu wadau hii kitu ilisha jadiliwa sana hapa jamvini na watu tushaifaidi, sema wakistukia wanii block faster.

Kama hamuamini nenden pale bamaga kwenye ofisi za star times mtafute fundi wao mtonye atakwambia mshikishe elfu 20 tu akurekebishie
 
Au frequency hii 530
kaka naona kwa 530Mhz mzigo unapga kaz kama kawaida!!!! sasa tatizo ndo haka ka ujumbe "Non-Conax Program"
kwenye screen tunakatoaje???????????:A S 39:
A%20S%2039.gif
 
mmmh! jamani pamoja na kwamba tunafaidi lakini hivi vya mteremko si vizuri maana vinaharibu biashara za watu.....kwa hili mimi simo!
 
Back
Top Bottom