Wale wote mliopo kwenye previous lonees na mliokosa kabisa mkopo, mdodosaji bado nipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wale wote mliopo kwenye previous lonees na mliokosa kabisa mkopo, mdodosaji bado nipo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by MKINDE, Sep 20, 2012.

 1. M

  MKINDE Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wana JF naombeni nafasi kidogo japo najua jukwaa lipo bize kupita kiasi
  Ndugu zangu najua kuna watu hadi sasa wanachekelea na wengine wamekwisha kata tamaa na kuanza kutafuta kazi za kufanya na kutupilia mbali suala la chuo, Ndugu zangu msikate tamaa mwanadodoso leo naingia ndani ya HESLB kujua hatima ya hawa previous lonees na wengine wengi ambao majina yao hayapo kwenye watu ambao wamepata mkopo kutoka HESLB. Leo leo nitawapa hatima yenu. Poleni kwa presha mlizozipata. asanteni
   
 2. B

  BONANJE Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sawa mkuu,tunakutegemea sana cc ambao tupo mbali na pembezoni mwa nchi hii kaka tujuze,mimi kama jukwaa litakuwa bixe nibip 0716640076 nijuze.
   
 3. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 774
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Akhsante kwa taarifa mkuu!
   
 4. WamLola

  WamLola JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  vizuri mkuu sisi tunakutegemea utujuze yatakayojiri huko:A S 465:
   
 5. gbrother

  gbrother JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu
   
 6. R

  Rebo's Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  2nasubir kwa hamu mkuu! Huku 2kitegemea yote mazur na mabaya!
   
 7. r

  robert komba Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks mkuu mi jaman kiukweli nimekata tamaa na nchi yangu sijui nani hanishaur niipende tena nchi hii
   
 8. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mdodosaji lete habari sasa ni zaidi ya nane na nusu, bado uko bodi?
   
 9. Chimile

  Chimile Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Kaka tunakusubiri kwa hamu....kiukweli japo kuna roho ya kukata tamaa lakini bado nina ujasiri wa kupata mkopo..nahisi kuna majina yatatoka na langu likiwepo.... Mungu nisaidie
  Jaman tunaweza kujaribu kwa hawa jamaa pia wanatoa... Home
   
 10. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #10
  Sep 20, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mdodosaji unaitwa.
   
 11. Also me

  Also me Member

  #11
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ....aixeee vp bana habar ya wanachuo wanaoendelea na maxomo, ambao walikoxa mkopo mwaka jana na hvyo wakafanya uamuz wa kuomba upya mwaka huu?!... hatima yao ikoje bana?!...
   
 12. k

  kidulile1 Member

  #12
  Sep 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vp mkuu mkinde majibu kmya jaman hal mbaya uku sie
   
 13. M

  MKINDE Member

  #13
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kaka suala hilo naomba uwe mpole kwa sababu bodi wanaanza kwanza na hawa waliomaliza kuanzia mwaka 2010 baada ya hapo walimu na wanaosoma sayansi alafu ndio wewe watakufikiria kama mkopo utabaki, mwombe mungu wako atakusaidia
   
 14. G

  Graucho Member

  #14
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vp kama upo ndani ya mkopo kwa miaka miwili ilyopita ila dis yr umechelewa kuomba, ukienda sa hizi kuomba utakubaliwa au too late?
   
 15. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #15
  Sep 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unfortunately too late, and where were you siku zote hizo? Huna wenzako unaosomanao wenye mkopo kama wewe?
   
Loading...