CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

CECAFA Kagame Cup 2012 - Live updates

Hongereni Azam kwa ushindi mnono. Tunawatakia kila la kheri katika nusu fainali na fainali kwa ujumla.
 
Dah....................Poleni sana watani.......Ndo ukubwa huo

mkuu: ya leo kali. ata hivyo nashukuru Simba inaishia hapa ingeenda nusu fainali au fainali kwa mpira huu wanaocheza ingekuwa ni aibu kwa Tanzania, hatuna timu kabisa.
 
Afadhali lkn Sunzu katoa gundu angalau kafunga goli la offside

Huyu Sunzu hamna kabisa, magoli yote aliyokosa eti anafunga offside..hakuwa kwenye form kabisa tangu mashindano yanaanza..Poleni sana watani..
 
simba hoi na dk 90+? nauliza tu maana hapa nipo kenye dala dala narudi break ya kwanza ni dompo tu kujiliwaza...

poleni sana wana simba..
 
Parapanda italia parapandaa, parapanda italia parapanda; wateule watakuwa wamekwisha nyakuliwa, kumlaki Bwana ... mawinguni!

Bado Azam 3-1 Simba dakika 90 zimeongezwa 3 tu za kujinasua.

nilitamani wapate penati tena...
 
leo nilikuwa nasikiliza kanda yangu niliyoirekodi miaka ile kati ya Simba na SC Villa ya Uganda...

Enzi ya akina Mackenzi, Raphael Paul, Twaha Hamidu, Jamhuri Kihwelu, Frank Kasanga Bwalya, Ramadhan Leny, Issa Kihange....

dah
 
Hongereni Azam, hakika mlistahili ushindi, tunawatakia kila heri huko muendako, tulipenda tuendelee lakini imeshindikana.
 
Back
Top Bottom