Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

Big Brother Africa (BBA) 2012 - Updates

Nasubiri kwa hamu kujua nani mwakilishi (wawakilishi) wa Tz
 
Wameingia kwa Kenya na Nigeria kwanza hahahaha
 
hahaaaaaaaa nasikia Joketi wacha tusubili tuone
 
Ebanaeee, Jokate nimemtafta kwenye sim hapatikani, labda kweli ndo mshiriki?
 
bado mkuu,ndo wametambulishwa wakenya na wengine bongo bado,but inavyoonekana ni watu wa music indusry ndo wanaoingia mwaka huu...
 
I like the Nigerian girl 🙂
 
Ameingia dada kutoka Nigeria anaitwa Goldie (mwanamuziki), ni kichaa kweli kweli.

Anasema kwenye mambo ya MMU yeye anahusudisha self service!!
 
stesheni za Tanzania hovyo sana, ving'amuzi having'amui mashindano yani tuko nyuma sana kwa kweli.
 
South Africa...model Barbz ndiye mwakilishi wao (5th out 7 stars)!!
 
south africa ni model wakuu,so ile fununu ya jokate yaweza kuwa kweli au? au yupo kitaa bongo????
 
Huyu dada wa SA anaonekana mwoga sana ukilinganisha na Mnigerua
 
Back
Top Bottom