RAIS Jakaya Kikwete ameagiza viongozi wa wilaya mpya wa WANGING'OMBE mkoa mpya wa Njombe kuondoa MVUTANO wa makao makuu ya wilaya hiyo ambapo na kuwa Kama watashindwa kuafikiana Kati ya Kata ya WANGING'OMBE na kata ya ugwachanya basi ataamua yeye,huku akidai kuwa wakuu wa wilaya wapya na wale...
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini (TAKUKURU) asubuhi hii imemfikisha mahakani mkurugenzi mtendaji wa Shule ya sekondari ya EFATHA iliyopo mjini Iringa kwa thumb za rushwa.
Wadau nipo mahakamani hap a najaribu kuisaka habari hii ili kuweza kuwajuza kwa kin a zaidi japo
Madiwani wa Halmadhauri ya wilaya ya Ludewa mkoa mpya wa Njombe (Iringa) leo wamegoma kuendelea na kikao cha tathimini ya robo mwaka juu ya utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika Halmashauri hiyo baada ya wakuu wa Idara kushindwa kutekeleza maagizo mbali mbali ambayo waliagiza katika vikao...
Edwin Sambala mgombea udiwani wa kata ya Gangilonga (Chadema) akiwa ameduwaa ndani ya ofisi ya msimamizi msaidizi wa uchaguzi kata hiyo ambaye alitelekeza ofisi yake na kwenda kata ya KItanzini
Viongozi wa Chadema mbunge wa jimbo la Iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa wa kwanza kulia,mbunge wa...
Mkurugenzi wa TAKUKURU,Bw.Edward Hosea
TAASISI ya kupambana na kuzuia Rushwa nchini (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imemfikisha mahakamani mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mtaa wa Kihodombi katika Manispaa ya Iringa Aldo Kaduma (50)kwa tuhuma za kujifanya afisa wa taasisi hiyo na...
Mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Mhe.Chiku Abwao akimuuguza mama yake mzazi Tatu Abdallahman (79) ambaye amerejeshwa hospitali na kutibiwa nyumbani kwake Gangilonga mjini Iringa mgonjwa huyo anasumbuliwa na matatizo ya mshtuko wa moyo na kupelekea kupooza mguu wa kushoto na...
Bungeni asubuhi ya leo mambo si swari mbunge aanguka ghafla katika kiti chake
Kikao cha bunge la bajeti kinachoendelea mjini Dodoma asubuhi hii kimesimama kwa muda baada ya mbunge mmoja mwanamke kuanguka na kupoteza fahamu wakati mbunge wa jimbo la Ludewa Mhe.Deo Filikunjombe...
Rais wa bodi ya MCT Jaji Kisanga (kushoto) akipongezwa namjumbe wa bodi hiyo aliyeshinda kwa kishindo Keneth Simbaya ambaye ni Rais wa UTPC na mwenyekiti wa IPC
Rais wa MCT Jaji Kisanga (kulia) akikaribishwa katika kiti chake baada ya kuchaguliwa kwa kura za kishindo kuongoza MCT...
MCT YAFANYA MABADILIKO MAKUBWA YA UONGOZI WAKE JAJI KISANGA ,SIMBAYA MAMBO SAFI...
Rais wa bodi ya MCT Jaji Kisanga (kushoto) akipongezwa namjumbe wa bodi hiyo aliyeshinda kwa kishindo Keneth Simbaya ambaye ni Rais wa UTPC na mwenyekiti wa IPC
Rais wa MCT Jaji Kisanga (kulia)...
Rais wa bodi ya MCT Jaji Kisanga (kushoto) akipongezwa namjumbe wa bodi hiyo aliyeshinda kwa kishindo Keneth Simbaya ambaye ni Rais wa UTPC na mwenyekiti wa IPCRais wa MCT Jaji Kisanga (kulia) akikaribishwa katika kiti chake baada ya kuchaguliwa kwa kura za kishindo kuongoza MCT...
Mbunge wa jimbo la Ludewa mkoani Iringa Deo Filukunjombe akakabidhi zawadi ya Ngombe na kombe kwa mabingwa wa mashindano ya Filikunjombe Cup kata ya Lupanga timu ya kijiji cha Lupanga timu hiyo ilifanikiwa kutwaa ubingwa huo baada ya kuichapa timu ya Rusala kwa jumla ya goli 2-0...
Maisha mapya jela kwa kushambulia wanahabari Mfungwa Shoto Shabani (mwenye suti) ambaye amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja
na kulipa faini ya sh.200,000 na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Njombe,
kwa kosa la kuwashalia wanahabari julai 15,2009, Lupembe wilayani Njombe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.