unaweza kukuta alipigwa swali jipyambunge gani huyo .. alikuwa anatoa hoja au anajibu maswali au ilikuwaje ???? tupeni ufafanuzi
Ni wa chama gani na anaitwa nani?
yule mama anakilo nyingi sana hivyo walikuwa wanategeana kumbeba.Nimeona namna ambavyo hatuko sharp kwenye huduma ya kwanza. Hata kumtoa pale imechukua muda mrefu na kusababisha kutokuwa na usikivu bungeni hata Mbunge aliyekuwa anachangia ilibidi akatishwe mara kwa mara kwa sababu ya kelele. We are not serious!
umri jamaniii watu wengine inabidi wabaki home na wajukuu...au ndio hata wajukuu hakuna?yule mama anakilo nyingi sana hivyo walikuwa wanategeana kumbeba.
Bungeni asubuhi ya leo mambo si swari mbunge aanguka ghafla katika kiti chake
Kikao cha bunge la bajeti kinachoendelea mjini Dodoma asubuhi hii kimesimama kwa muda baada ya mbunge mmoja mwanamke kuanguka na kupoteza fahamu wakati mbunge wa jimbo la Ludewa Mhe.Deo Filikunjombe akichangia .Jina bado halijafahamika na chama chakeAlikuwa amekaa tu wakati mbunge wa njombe alikuwa akichangia hoja,pamoja na yote mbunge huyo hakucheza fair play aliendelea kuongea mpaka m'kiti alipomsimamisha kuongea na haikutosha jamaa aliadai muda wake utunzembunge gani huyo .. alikuwa anatoa hoja au anajibu maswali au ilikuwaje ???? tupeni ufafanuzi
Tena walikuwa wanategeanayule mama anakilo nyingi sana hivyo walikuwa wanategeana kumbeba.
Usingizi umemzidi? Kwani naambiwa wanakesha kwenye clubs tena siku za kazi. Aibuuuuuuuu.