Aliyewacharanga mapanga waandishi aanza maisha mapya jela... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyewacharanga mapanga waandishi aanza maisha mapya jela...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Francis Godwin, Jun 21, 2011.

 1. Francis Godwin

  Francis Godwin Member

  #1
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3][​IMG] Maisha mapya jela kwa kushambulia wanahabari [/h]
  [​IMG]Mfungwa Shoto Shabani (mwenye suti) ambaye amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja
  na kulipa faini ya sh.200,000 na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Wilaya ya Njombe,
  kwa kosa la kuwashalia wanahabari julai 15,2009, Lupembe wilayani Njombe,
  akisindikizwa na askari polisi leo kwenda katika mahabusu ya mahakama hiyo kwa
  ajili ya kusubiri kwenda kuanza kutumikia adhabu hiyo
  [​IMG] Hapa Shoto Shaban akiingizwa mahabusu kusubiri kwenda gerezani baada ya hukumu kutolewa
  MAHAKAMA ya hakimu mfawidhi wa wilaya ya Njombe mkoani Iringa imefunga jela mwaka mmoja mkazi wa kijiji Igombora katika tarafa ya Lupembe wilayani Njombe
  Bw.Shoto Shaban na kutakiwa kulipa faini ya shilingi 200,000 baada ya kupatikana na hatia ya
  kushambulia waandishi wa habari,julai 15 mwaka juzi.

  Bofya hapa
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nenda mwana-kwenda!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,910
  Trophy Points: 280
  Godwin karibu sana jukwaani
  kamwene......
  kazi njema!
   
 4. Francis Godwin

  Francis Godwin Member

  #4
  Jun 21, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana kwa kukaribishwa katika libeneke hili
   
 5. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  At least Justice has not been delayed nor denied.
   
 6. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Karibu Francis Godwin .
   
Loading...