Mbowe arejesha Shangingi la Kiongozi wa Upinzani Bungeni

Mr. Mbowe!!
what you did is an advanced politics!!
unaiangalia Tanzania miaka ishirini ijayo jambo ambalo angalau mzee jk angelifanya siku ya kwanza tu alipokabidhiwa offisi!
USHAURI Wangu kwa JK!
Una kazi rahisi sana kumpiku Mbowe kwamba:-
Iangalie Tanzania miaka hamsini ijayo, utamtoa Mbowe ulingoni kwani:-
1. uwezo unao [wewe ni amiri jeshi mkuu na mwajiri mkuu wa watumishi wote wa umma, mbowe hana huo uwezo]
2. Upo kwenye chama chenye ushawishi nje ya mipaka ya Tanzania [chama cha Mbowe hakijafika huko]
3. Rasilimali unazo [TRA, bandari, reli, airports, minerals, tourism, arable land and a beautiful wife] - Mbowe hana hivyo vyote
WHAT YOU NEED IS COMMITMENT!
 
Hivi nyie mapashkuna wengine mna ID's NGAPI NGAPI?
Kumbukumbu zinaonyesha umejiunga juzi 9 May 2011, halafu hapohapo unaongelea habari za Brazameni wa zamani!...
Unaidhalilisha hiyo buibui uliyovaa!
huyu ni dume,,majimshindo kama unamkumbuka...njia ya mwongo ni fupi
 
Join Date : 9th May 2011Posts : 1,402Thanks 285Thanked 121 Times in 105 PostsRep Power : 23Hapo kwenye red na muda uliojiunga inaonekana ulikuwepo zamani lakini ukaamua kujivua gamba.
HahAaaaa, unanchekesha babuwee, hata mkjj ana I'd zaidi ya moja humu na saa zingine anajijibu mwenyewe. Niwache kama nilivyo na nilishatangaza zamani kuwa nipo humu kabla ya wengi sana, nipo humu toka Jambo babuwee unanini?
 
Unapowapa Wabunge mashangingi unamaanisha kwamba public transport ni nzuri sana Tanzania. Wabunge wakianza kutumia public transport ndipo tutakapoweza kuona mabadiliko kwenye usafiri wa raia katika nchi hii na ndipo tutakapoona wanaweka kiwango muafaka katika sera za Reli, miundo mbinu nk. Nafikiri wengi wamejisahau na kufikiria matumbo yao. Wakati umefika sasa kubana matumizi ya wabunge na viongozi wa juu serikalini kwa sababu wanalipwa fedha nyingi bila kukidhi mahitaji ya walipa kodi. Hongera Mbowe kwa kuonyesha mfano ambao nafikiri wengi hawawezi kufanya lakini kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho na mwanzo wa safari ni hatua moja.
 
Wananchi wataelewa tu siku moja. Hongera CDM, OLE WAO CCM siku wimbo ukieleweka na wananchi kuanza kuucheza kura hazitaibwa na hata risasi na mabomu hayatatosha.
 
Presha ya naman hii ndiyo inayotakiwa katika bunge letu hadi viongozi na wabunge wa CCM wajiharishie. Bunge siyo mahala pa kutajirikia bali ni mahala pa kutumikia raia waliokuchagua. Lakini wabunge wamefanya kuwa huko ndiko kwa kwenda kuchuma, na hii yote ilisababishwa kwanza na Mwinyi kwa kuanzisha mtindo wa mashangingi na kuhitimishwa na Mkapa kwa kupandisha maposho ya wabunge kuwa makubwa namna hiyo
 
Yuko wapi yule anaejiita mtoto wa mkulima sasa ndio wakati wa kufanya mabo kwa vitendo tunaomba nae arudishe shangingi tuliweke sokoni.
 
Ndo alichonacho icho, ni mwanzo mzuri japo kiranja mkuu alishaanzisha, si vibaya wakifuata aliyofanya mtoto halisi wa mkulima
 
Mbowe bwana anaponda mashangingi wakati kachukuwa milioni 90 kwa ajili ya gari, kachakuwa tena mkopo wa milioni 200 benki mdhamini wake ni ofisi ya katibu mkuu wa bunge, acha usanii bwana

Thbitisha!
Yeye mwenyewe alisema wakati wa mahojiano na lukuvu wiki iliyopita kuwa hajakopa so thibitisha
 
if you are a politician cheap popularity is part of politics. CCM basi watafute nao umaarufu ambao una gharama kidogo.

Mbona unasahau, cheap popularity ya Chama Cha Majambazi hii hapa chini ..... . ..

12nyoka1.jpg




Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom