Mct yafanya mabadiliko makubwa ya uongozi wake jaji kisanga ,simbaya mambo safi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mct yafanya mabadiliko makubwa ya uongozi wake jaji kisanga ,simbaya mambo safi.

Discussion in 'International Forum' started by Francis Godwin, Jun 23, 2011.

 1. Francis Godwin

  Francis Godwin Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=3][​IMG]Rais wa bodi ya MCT Jaji Kisanga (kushoto) akipongezwa namjumbe wa bodi hiyo aliyeshinda kwa kishindo Keneth Simbaya ambaye ni Rais wa UTPC na mwenyekiti wa IPC[/h]
  [​IMG]Rais wa MCT Jaji Kisanga (kulia) akikaribishwa katika kiti chake baada ya kuchaguliwa kwa kura za kishindo kuongoza MCT
  [​IMG]Katibu wa IPC Frank Leonard akipiga kura yake kumchagua mjumbe wa bodi kupitia vyombo vya habari japo bila shaka kura yake ilikwenda kwa mwenyekiti wake Keneth Simbaya
  [​IMG]
  WAJUMBE wa baraza la habari Tanzania (MCT) wamempitisha kwa kura za kishindo kwa mara nyingine Rais wa bodi ya MCT aliyemaliza muda wake jaji Robart Kisanga kuendelea kuongoza nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.ZAIDI SOMA HAPA
   

  Attached Files:

Loading...