CHADEMA kidedea kijiji cha Kabiga Geita

CHADEMA kidedea kijiji cha Kabiga Geita

Hakuna mia hisiyo na moja. Wataisoma namba tu, wapende wasipende big up m/kiti uliyeshinda
 
[h=3]MCT YAFANYA MABADILIKO MAKUBWA YA UONGOZI WAKE JAJI KISANGA ,SIMBAYA MAMBO SAFI...[/h]
Rais wa bodi ya MCT Jaji Kisanga (kushoto) akipongezwa namjumbe wa bodi hiyo aliyeshinda kwa kishindo Keneth Simbaya ambaye ni Rais wa UTPC na mwenyekiti wa IPC
Rais wa MCT Jaji Kisanga (kulia) akikaribishwa katika kiti chake baada ya kuchaguliwa kwa kura za kishindo kuongoza MCT
Katibu wa IPC Frank Leonard akipiga kura yake kumchagua mjumbe wa bodi kupitia vyombo vya habari japo bila shaka kura yake ilikwenda kwa mwenyekiti wake Keneth Simbaya
WAJUMBE wa baraza la habari Tanzania (MCT) wamempitisha kwa kura za kishindo kwa mara nyingine Rais wa bodi ya MCT aliyemaliza muda wake jaji Robart Kisanga kuendelea kuongoza nafasi hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.soma zaidi www.francisgodwin.blogspot.com
 
Back
Top Bottom