Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Heading ya hii thread mbona tofauti na maneno yaliondikwa ndani nilidhani kaishapiga risasi mtu!
huyu ni bwana kilufi mbunge wa ccm mbalali na si mbalizi kama mtoa topic alivosema. Kwakweli tz twaenda kubaya kwani uyu jamaa katishia kuuwa na kamtishia gamba mwenzake
Yes mkuu,kuna mtu ameshalirekebisha hapo juu hilo.Ni mbarali sio mbalizi nilichanganya majina.Ni kutoka TBC1 habari.
Mbunge wa Mbalizi CCM
sio mbunge wa mbalizi ni Mbarali ni sehem tofauti izo.
Unaonaje ukijadili hoja badala ya kutumia lugha ambazo zinakushushia heshima yako.Hilo ni kosa la kisarufi tu lakini mantiki ipo palepale.Angalau ungejadili hoja iliyopo ambayo naamini ipo sawa.Hata kama inauma inabidi uwe mvumilivu we mtu mzima....!we ni gamba kweli nani amekwambia kuna jimbo linaitwa mbalizi...km hujui ramani ya nchi na siasa unawashwa nini,si ulale!af unatoa tarifa nusu nusu,hufai kuwa great thinker ww.
TBC wehu kweli, hawajataja jina lake wala chama chake. Angekuwa wa CDM tungetajiwa hadi wajukuu wake