Recent content by Fext

  1. F

    JamiiForums Tanzania Koboko (Black Mamba) - Nyoka hatari zaidi duniani

    Pichaaaaa mkuu
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wazuri wengi wenu mna mipele na makovu kwenye makalio yenu?

    Hahaha mlipima na kupima kwani mkuu maaanaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike.

    Apate mara ngapi mkuuu
  4. F

    JamiiForums Tanzania Makameraman wa enzi hizo

    Hahahaha doooooo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. F

    JamiiForums Tanzania Anayejua topics za paper one na two history na english anisaidie

    Nenda play store download THL app
  6. F

    JamiiForums Tanzania Dooooooooh makamera man wa zamani

    Makamera man walikuwa majeuri kishenzi yaani! Kwanza unakuta hii Kamera ina likamba fulani jeusi inaning'inizwa shingoni..... Kameraman ana kabaskeli kake hapa... nyuma kana begi lina picha za watu ambao hawajamaliza madeni. Kamera man anakupiga picha leo anakwambia picha yako utaipata panapo...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    *Valentine's Day: PSG 4- BARCA 0.* *Women's Day: BARCA 6-PSG 1* *We don't care about love, but we love our women!!* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Main chick

    Moja kati ya wasanii wanaofanya vizuri kwenye muziki wa bongo fleva jinsia ya kike baasi huwezi kumuacha Vanessa mdee ( v-money), lady jaydee ( komando) na wengine wengi. Leo naomba nimuongelee maua sama aiseh bidada anajua muziki kiukweli sijawahi jutia kumsikiliza kuanzia kwenye mahaba niue na...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Vurugu Dodoma: CCM wamfanyia vurugu Mbunge wa CHADEMA

    Kwani eneo hilo watu wengine walikua hawapiti? Kama walikua wanapita kwanini yeye tuu ndio apigwe?
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuwa DJ

    Ahsante kwa ushauri wako bro
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuwa DJ

    Nashukuru mkuu
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu kuwa DJ

    Ahsante Goodluck lakin pia kutumia virtual na mashine kipi ni rahisi zaid apoo
  13. F

    JamiiForums Tanzania PC na QT Special Thread

    Uko sahihi mkuu wale jamaa wana maswali na notes nzuri kweli yani
  14. F

    JamiiForums Tanzania PC na QT Special Thread

    Mara nyingi unavorudia mtihani kama hivo ni vigumu kupitia topic zote kutokana na muda uliopo lakini kupitia maswali mbali mbali itakusaidia kuelewa mengi kwa muda mchache.. Unaweza ukanunua vitabu lakin pia past papers toka shule nyingine zinazofanya vizuri jaribu kupata maswali yao na...
Back
Top Bottom