PC na QT Special Thread

PC na QT Special Thread

Nifanye nini ili nisikate tamaa? Mwaka juzi nilijitoa mnoo, nilisoma kama kichaa na nilitumia gharama kubwa. Nilikuwa natafuta crdt moja na nilifanya masomo manne. Maskini mie, matokea yalivyotoka nikaambulia D, sio siri niliumia kupita maelezo. Mwaka jana nikaamua kujiandikisha tena, kusema kweli nilipoteza hamu ya kusoma kabisa, kila siku nikawa nasema nitasoma kesho. Matokeo yake mitihani ikafika nami sijajiandaa, hivyo sikufanya mtihani kabisa japo namba nilipata. Mwaka huu natamani nifanye mtihani lakin roho yangu inasita vibaya mnoo. Nishaurini mwenzenu, shule bado naipenda lakin ndo hivyo.
Unataka usome ili badae uje kuwa nani(kufanya kazi gani)? labda tuanzie hapo.
 
Sio kweli niliwah ambiwaa kua alama za ufaulu kwa wote ni sawaa
Japo nikadokezewa kua usahihishaji wa PC sio mzuri saaana (hii sina uhakika)
Kumbuka wale madogo wa Continous Assesment afu PC hana. Wasahihishaji wa PC wako makini maana wanajua PC kajipanga kutusua kwa hiyo yakupasa PC uchimbe mara 4 zaidi ya SC
 
Uzima uko wapi kwa sasa ndugu nipatie mwongozo nataka fanya mtihani mwaka huu je mda wa kulipia bado bila penalty na je nawezaje kupata credit mbili ili mwakani niwe advance kwani shule naitamani sana aisee i wish nipate crdts zangu niende advance mwakani japo ni mwajiriwa ila sijarizika na hapa nilipo kabisa
Mimi naishi DSM, ila kwa sasa nipo Zenji mara moja!
 
Nifanye nini ili nisikate tamaa? Mwaka juzi nilijitoa mnoo, nilisoma kama kichaa na nilitumia gharama kubwa. Nilikuwa natafuta crdt moja na nilifanya masomo manne. Maskini mie, matokea yalivyotoka nikaambulia D, sio siri niliumia kupita maelezo. Mwaka jana nikaamua kujiandikisha tena, kusema kweli nilipoteza hamu ya kusoma kabisa, kila siku nikawa nasema nitasoma kesho. Matokeo yake mitihani ikafika nami sijajiandaa, hivyo sikufanya mtihani kabisa japo namba nilipata. Mwaka huu natamani nifanye mtihani lakin roho yangu inasita vibaya mnoo. Nishaurini mwenzenu, shule bado naipenda lakin ndo hivyo.
Dah kwel mkuu inaumiza sana me kila nikitaka kurisit nakuwa mzito napokutana namada kama hizi
 
Nifanye nini ili nisikate tamaa? Mwaka juzi nilijitoa mnoo, nilisoma kama kichaa na nilitumia gharama kubwa. Nilikuwa natafuta crdt moja na nilifanya masomo manne. Maskini mie, matokea yalivyotoka nikaambulia D, sio siri niliumia kupita maelezo. Mwaka jana nikaamua kujiandikisha tena, kusema kweli nilipoteza hamu ya kusoma kabisa, kila siku nikawa nasema nitasoma kesho. Matokeo yake mitihani ikafika nami sijajiandaa, hivyo sikufanya mtihani kabisa japo namba nilipata. Mwaka huu natamani nifanye mtihani lakin roho yangu inasita vibaya mnoo. Nishaurini mwenzenu, shule bado naipenda lakin ndo hivyo.
Cha kwanza fanya maamuzi magumu..!
Lakini wanasema ukitaka upate kitu zaidi ya ulichokipata sasa hivi itakubidi kufanya zaidi ya ulivofanya kupata ulichokipata sasa hivi..!
Chamsingi ni kugundua unapokesea mara zotee sahihisha then jitume kweli kweli lazma umove..!
Mimi mwenyew shahidi sikua serious mara ya kwanza nlivokua SC lakin nlivoshindwa nikaangalia wapi nlipoteleza nikasoma mwaka mmoja tuu kama PC na nikapata nlichokitaka..!
Lazima ujitoee
 
Mimi nimefanya huo mtihani wa PC mara moja tuu na nikapata credit nne
B+
C
C
C
Hiyoo ilikua ni 2014
Ninachotaka kukwambia ni kwamba honest kurudia mtihani kunakutaka uwe serious kupita kawaidaa, then shughuli yako kubwa iwe kusoma usijichanganye kwenye vituu vingi.
Ukiamini na ukasimamia kweli unachokiamini unaweza
Hongera
 
Ndugu, nina imani pia mitihani ya mara kwa mara ilinisaidia. Kuanzia j'mosi ya kwanza ya mwezi wa 6 mwaka jana, hadi wiki mbili kabla ya pepa nilikuwa nafanya mitihani miwili hadi minne kila wiki.
Tangu napata marks ndogo hadi napata kubwa.

Hivyo katika kusoma kwako, MITIHANI YA KUJIPIMA MARA KWA MARA NI MUHIMU SAANA.
Ina maana unawatushauri tununue vitabu vyenye maswali na majibu ili tuhipime c ndio au
 
Mara nyingi unavorudia mtihani kama hivo ni vigumu kupitia topic zote kutokana na muda uliopo lakini kupitia maswali mbali mbali itakusaidia kuelewa mengi kwa muda mchache..
Unaweza ukanunua vitabu lakin pia past papers toka shule nyingine zinazofanya vizuri jaribu kupata maswali yao na kussolve itakusaidia sanaa
 
Shukran sana
 
Nilifeli mwaka 2012, mwaka ambao walitangaza matokekeo Mara mbili, nikakata tamaa ya kuendelea na shule, nikaingia mtaani nikapata kazi kwenye kampuni mmoja, kwa kubebwa tu, manyanyaso na nikajiuliza nini hatima ya maisha yangu bila Elimu Maana sikupata hata Cheti, japo ninakazi naendesha maisha yangu niliamua kurudia mtihani mwaka Jana, kutokana na Majukumu nikajisemea moyoni wacha nirudie haya matano, kweli nilirudia na namshukuru Mungu nimepata kitu ninachokitaka, naomba mtumie thl wanamaswali zaidi ya elfu KUmi, ilinisaidia sana ukizingatia sikuwa na mda wa kutosha wa kujisomea na kutafuta material
 
Uko sahihi mkuu wale jamaa wana maswali na notes nzuri kweli yani
 
Back
Top Bottom