Recent content by farimag

  1. F

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    angalia DOCTOR HOUSE ni nzuri hutoboeka nayo.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Turkey coup: Military attempt to seize power from Erdogan. Social Media blocked!

    enjoy uko uliko...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Turkey coup: Military attempt to seize power from Erdogan. Social Media blocked!

    watanzania kwa kujitia ujuwaji mashallah...ya kwenu yanawashinda!!!!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    comments zimenipa ushawishi kuitafuta, kufika youtube hmmm...wanaboa hawajui kuigiza kama kawaida yao wabongo muvi...nimeshindwa kufikisha dakika kumi kuangalia...ukweli watu tunatofautiana wewe unaona kibaya mwingine anaona kizuri...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka subtitle kwenye movie yeyote ile

    shukran sana
  6. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka subtitle kwenye movie yeyote ile

    kwa pc mkuu
  7. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuweka subtitle kwenye movie yeyote ile

    me nataka niingize subtitles kwenye videos lakini sijui inafanywa vipi ama unatumia program gani. kuna mtu anafahamu?
  8. F

    JamiiForums Tanzania Lulu arudi chuo, anachukua telecommunication engineering

    shule kama hizi ni mizigo kwa taifa. hayo madarasa ni bora wapewe wafanya biashara wa kuku wafugie kuku. yani shule ina div 4 na zero tu!!
  9. F

    JamiiForums Tanzania Magomeni: Basi lingine la UDART lagongwa

    huo mradi hautochukuwa hata mwaka unakufa. hizo barabara zitakuwa soko la wamachinga!!
  10. F

    JamiiForums Tanzania Shilole na ubalozi wa Condom

    "yeah, it's your boy shishi baby, now am ready to go to performance tonight at pod club. he you see me am a beautiful girl huh?"
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kisarawe: Walimu walazwa uchi na kuchapwa viboko

    maneno kidogooo...wazaramo hao..
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udi inayofaa kwa mwanamke kujifukiza

    hueleweki...umeandika kama umejiandikia summary!
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Udi inayofaa kwa mwanamke kujifukiza

    mwenyewe ndiyo unaona umetoa elimu kwa watu hapo...kama kuelimisha kwenyewe ni hivi bora hiyo elimu yako baki nayo!
  14. F

    JamiiForums Tanzania Naipenda Dar kupita maelezo

    dar gani hiyo? dar ambayo mtu unakaa kwenye foleni mpaka unasahau unaenda wapi! hali ya hewa mbaya, joto usiulize...kweli watu tunatofautiana!!
  15. F

    JamiiForums Tanzania Movie ambazo zimepitiliza Uwongo

    muvi ya yesu
Back
Top Bottom