Magomeni: Basi lingine la UDART lagongwa

ERoni

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
46,728
100,677
Basi la mwendo kasi limepata ajali katika junction ya Sheikh Yahya, Magomeni baada ya gari binafsi kupiga "u-turn" sehemu isiyoruhusiwa.
db689b94-9668-4e7a-b6af-b5dcccf31a6d.jpg
8bb1850c-890a-40dd-9c4c-2766b14e0bbd.jpg
3f4fc0ba-8f81-4337-a1c9-da81d6202d6f.jpg
4866e92a-115b-4f6c-8399-22bd343795ca.jpg
9892f1a0-ad7e-435e-83f4-4fae6e49480a.jpg
 
Anatakiwa gari kitaifishwe
Afungwe kidogo hata miaka miwili na baada ya hapo mngine yafate
 
Pale kuna shida...watu wengi wanajichanganya sana huwa hawafuati sheria za sehemu kama sehemu ile.
 
Back
Top Bottom