Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,558
- 41,321
sifa izo za Dar mnafanya watu Wauze ng'ombe huku kijijini na kukimbilia huko ambako Hamna kitu...

Mkuu wewe ni mzaramo?Naipenda mpaka inakera, nikitoka nje ya Dar mwisho wiki mbili tu naanza kuimisi Dar yangu, na kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo inavyozidi kujidhihirisha kwamba siwezi kuishi sehemu nyingine isipokuwa Dar!
Joto na foleni vimepungua? Njoo ujaribu na Loliondo kwa babu.
Naipenda mpaka inakera, nikitoka nje ya Dar mwisho wiki mbili tu naanza kuimisi Dar yangu, na kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo inavyozidi kujidhihirisha kwamba siwezi kuishi sehemu nyingine isipokuwa Dar!
Nyie ndio wale mliookotwa ubungo..Naipenda mpaka inakera, nikitoka nje ya Dar mwisho wiki mbili tu naanza kuimisi Dar yangu, na kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo inavyozidi kujidhihirisha kwamba siwezi kuishi sehemu nyingine isipokuwa Dar!
Itakuwa DaredaDar wapi??
Mitaa ya wasso au ngarasero au malambo?Joto na foleni vimepungua? Njoo ujaribu na Loliondo kwa babu.