Mti wa Chuma
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 331
- 99
Habari msomaji wa uzi huu,
Leo nitazungumzia aina ya mafusho/udi ambayo zinafaa kwa mwanamke kujifukiza. Wanawake wengi hawajui matumizi sahihi ya udi/mafusho.
Ili mambo yako yawe sawa hasa kimapenzi inatakiwa utumie mafusho yafuatayo;
-Ambar
-Rawandi
-Kafur
-Zafarani
-Mustaka
Unatakiwa kuchoma siku za Alhamisi, Ijumaa au Jumatatu. Au uchome siku yeyote katika saa za atlarid, zuhura au qamar.
Hakika ukizingatia hayo yote mambo yako yataenda vyema.