Jinsi ya kuweka subtitle kwenye movie yeyote ile

m nilisema kwa mtu asinielewa anichek inbox. . nimtumie video... ataelewa haraka sana
 
Dawnload hilo toleo hapo la 2.2.2 mimi kwangu inasave kwenye file ambapo movie husika ipo.
Nazungumzia vlc ya pc si ya android mkuu
 
ASANTE SAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAANA
 
bwana KIOO nilikuwa vijijini huko kwa miez 2... so network ilikuwa shida... bado hujaweza tu? nimerud
 
Dawnload hilo toleo hapo la 2.2.2 mimi kwangu inasave kwenye file ambapo movie husika ipo.
Nazungumzia vlc ya pc si ya android mkuu
Kwan ki download subtitles via Vlc ni lazima utumie hatua za mleta mada wa awali au kuna utofauti.?
 
me nataka niingize subtitles kwenye videos lakini sijui inafanywa vipi ama unatumia program gani. kuna mtu anafahamu?
 
Back
Top Bottom