Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,269
- Thread starter
- #21
teh teh teh'Muvi' zote za Mzee wa Upako Channel Ten in uwongo...
teh teh teh'Muvi' zote za Mzee wa Upako Channel Ten in uwongo...
HATA ZA SHEKHE KIPOZEO NI ZAMOTONI'Muvi' zote za Mzee wa Upako Channel Ten in uwongo...
hahaha mimekumbuka mbali sana hahahahahahahhahahahahhaNa zile za kichina enzi hizo utasikia ''huh hah'' mara master anapaa angani kama ndege!! dah! wachina nao wameanza kitambo kutuibia!!
Hii ni Kali kulikoJECHA 2015 series 1 na 2
Ya channel gani??taarifa ya habari saa mbili kamili usiku.
expendable kama sikosei, wamecheza mastaa hv, hum ndan kuna uongo mpaka hata wao wanajistukiaKuna movie nacheki hapa ni zaidi ya uwongo yaani hata mtoto mdogo humdanganyi hivi.
Tujuzane movie zenye uwongo ulioptiliza kama si kutukuka.
1.Mission Impossible 4 na 5
2.Spectre ya James Bond
karibu uendelee na wewe...
wewe ni jiputaarifa ya habari saa mbili kamili usiku.
tupe dondoomuvi ya yesu