Nami nina tatizo hilo. Jana nikaenda Tigo labda wataniingizia manual nao wamechemka. Wamenambia nitafute mtu mwenye ID ya apple. Haikubali whatsap,ina program chache sana.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
ANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Kamishna Mkuu wa Uhamiaji anatangaza nafasi za kazi katika Idara ya Uhamiaji. Nafasi hizo ni Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Koplo wa Uhamiaji na Konstebo wa Uhamiaji.
A.----- MKAGUZI MSAIDIZI WA UHAMIAJI (Nafasi 70)
---------
SIFA ZINAZOHITAJIKA
Awe na Shahada ya Kwanza...
Nawakumbuka kina Bruno,Bichizi, ilikuwa ukitaka kutoka mapema Bichizi anabeba Begi hadi studio pale nje,halafu smart area unapita mbio. Ila maafande wakikudaka nae anakukana. Nilisoma pale 1999 - 2001
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Alienda kupeleka fedha kwa mgonjwa wake,askari wa kampuni binafsi wakamzuia,akajifanya ana nguvu wakamuangusha kifo cha mende! Akampigia simu waziri wa Afya Juma Duni akaenda kumuokoa. Amenikumbusha kisa cha Afisa kilimo na mifugo alozuiwa kuingia kwenye shamba lenye mizinga ya nyuki,alipozuiwa...
Acha utumwa mtoa mada,usikariri tamaduni za watu,usitawaliwe na umagharibi. Kuna mengi ya muhimu kuliko nguo aliyovaa huyu mama.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Udi hafukizwa chumba kikanukia,nguo na mwili zikanukia pia. Mara nyingi wanawake wakiandaa nguo za waume zao hasa kanzu huzifukiza na udi. Na pia kuna mafuta ya udi ambayo sikuhizi wengi hutumia. Pole kwa kutoipenda hiyo harufu. Huku pwani udi ni kama chai kwenye sukari. Mwanamke hujifusha...
Si kila kiandikwacho kina maana,mashekhe ni watu kama sisi,Uislam unaangalia Hadith na Sunna na sio misri wamesema vipi. Mtoa mada unataka kupotosha umma kwa kuzifanya sheria za Egypt ndio sheria za kiislam. Mfano wanawake kutoendesha Magari. Enzi za mtume wala magari hayakuwepo,sasa sheria kama...
Sina hakika na uraia wako mtoa mada. Ila sherehe za Uhuru huwa hakuna hotuba. Aliamua kuzungumza kuhs Mandela leo. NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Alikuwa anapima kina cha bahari kwa ujiti. Alitaka kujiamini watu wanamkubali na kuamua kuanzia kulekule ambako walisema asifike. Aendelee na ziara yake kama anaona bado anakubalika.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.