rogers1992
Member
- Jul 1, 2013
- 26
- 1
Nina iphone5 nyingi nimenunua but zina hitaji apple id and password iliyo tumika kwenye kila simu. So nilikuwa nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza crack Apple ID kwenye Iphone (IOS7)
HOW TO CRACK APPLE ID ON IPHONE 5. Nime nunua iphone5 but ina hitaji apple id ili iweze kuwa activated
Jaribu kui restore kwa kutumia Itunes then ukianza itakua kama mpya then utaweza ku create new apple id. Kuirestore kwakutumia itunes unaiweka simu kwenye DFU mode
HOW TO CRACK APPLE ID ON IPHONE 5. Nime nunua iphone5 but ina hitaji apple id ili iweze kuwa activated
Mkuu anaeweza kukusaidia apo kwa sasa ni either mwenye io id (aliekua mmiliki wa io simu au apple wenyewe) Mtandao wa simu hawawezi kukusaidia kwa namna yoyote. Labla mbeleni ma-pro wa ios wakifanikiwa kuihack. Pole mkuuNami nina tatizo hilo. Jana nikaenda Tigo labda wataniingizia manual nao wamechemka. Wamenambia nitafute mtu mwenye ID ya apple. Haikubali whatsap,ina program chache sana.
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
HOW TO CRACK APPLE ID ON IPHONE 5. Nime nunua iphone5 but ina hitaji apple id ili iweze kuwa activated
ingekuwa ni kuondoa simu iliyo katika blacklist (lost or stolen) kwenye carrier fulani ingewezekana, au bad esn, carrier locked ungeweza kupata solution. ila Apple ID lazima ipitie na kuruhusiwa kwenye Apple servers. utapata access kama wewe ni mmiliki halisi wa hiyo ID na device yoyote iliyo associated na hiyo Apple ID!! huwezi kuwalipa hela wala kufanya chochote, wanachotaka tu ni uweke password sahihi ya hiyo Apple ID ili upite activation screen. pole kamanda...Nina iphone5 nyingi nimenunua but zina hitaji apple id and password iliyo tumika kwenye kila simu. So nilikuwa nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza crack Apple ID kwenye Iphone (IOS7)
Simu ipo locked ukiwasha tu ina hitaji apple id iliyokuwa ina tumika kuanzia mwanzo and mimi sina coz nili nunua kwa mtu ebay. Kama vp na hitaji mtu anaye weza kui crack
Nina iphone5 nyingi nimenunua but zina hitaji apple id and password iliyo tumika kwenye kila simu. So nilikuwa nauliza kama kuna mtu yoyote anaweza crack Apple ID kwenye Iphone (IOS7)
Iphone yako uliweza kui unlock mkuu? What happened by the way?