UPDATES za Bungeni leo walio karibu na TV zak watujuze kinachoendelea.

Wapendwa sio wote ambao tupo karibu na TV zetu kufuatilia mjadala unaoendelea bungeni leo.
Bahati mbaya hakuna uzi ambao unatoa updates. So tunaomba walio karibu watujuze badala ya kila mtu kuanzisha uzi wake bahati mbaya moderateur sijui hawajaona maana wameziachia tu bila kuziunganisha so inakuwa ngumu kufuatilia.
Asanteni

Mjadala bado unaendelea ila mawaziri wanaotuhumiwa kutokana na wizara zao hawapo Bungeni
 
Duh naona hawa CHAKAVU FC wanaomba muda uishe maana wanapumulia mashine ipo haja baraza liwajibishwe kweli.
 
tundu anasema miaka 4o iliyopita tukio kama hili limewahi tokea na watu wote waliohusika waliwajibika na kipindi hicho chama kimoja
 
Tundu Lissu sasa:
Ameanza kutoa maelezo juu ya sheria ya mtumishi wa umma, etc
 
...nimeupenda sana mchango wa mweshimiwa Lisu bungeni lakini sijui imekuaje leo amevaa tai ya kijani...
 
Asanten kwa kukata umeme!
Mungu awabariki tanesco!

Wako kazini bana! Yaani ina maana unataka zile sumu za Tundu lissu nimesikia wananchi wooote waone...hata kama ni mimi Pinda.

Tanesco shirika letu bana, wacha liokoe jahazi...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kama unaweza kusikiliza LIVE kwenye Mtandao basi fanya hivyo mwenyewe na WAHI......

Fungua hapa: Arusha Mambo FM Radio - Home
Wapendwa sio wote ambao tupo karibu na TV zetu kufuatilia mjadala unaoendelea bungeni leo.
Bahati mbaya hakuna uzi ambao unatoa updates. So tunaomba walio karibu watujuze badala ya kila mtu kuanzisha uzi wake bahati mbaya moderateur sijui hawajaona maana wameziachia tu bila kuziunganisha so inakuwa ngumu kufuatilia.
Asanteni
 
Hivi vioja si vyakwanza. na kesho litaibuliwa jipya hili litakuwa historia. Watanzania sijui alituroga nani tumekuwa wasahaulifu kiasi hiki.

Ile chenji ya Rada jamani ilinunua yale madawati? Nimechoka na haya mambo yanakuja kwa moto wee na moto unajizima wenyewe
 
Back
Top Bottom