sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,283
- 976
- Thread starter
- #61
Ulitaka aongee Slaaa???
Dada nimekukosea nini? Usinitafutie ban.. Hapa Slaa kaingiaje? Au kila anayem'criticize mwenyekiti wa CCM basi anamsapoti Slaa au Mbowe?
Ulitaka aongee Slaaa???
Dada nimekukosea nini? Usinitafutie ban.. Hapa Slaa kaingiaje? Au kila anayem'criticize mwenyekiti wa CCM basi anamsapoti Slaa au Mbowe?
Mkuu basi siku nyingine ntamuambia ajirekebishe awe anakuongelea na wewe,sexologist
Ulfungwa kamba kwenda uko?
Hukulazimishwa kwenda ungekaa kwako ukaangalia movie,no discussion
Kwa ajili tuko kwenye maombolezo ya mzee MANDELA rais yuko sawa kabisa kuongelea habari za Mandela.
Huwa nahisi JK ana bifu na JKN!! Maana haka kamusela hata ile Nyerere Day kenyewe kalikuwa kameng'ang'ana na Risala za Maadhimisho ya mbio za mwenge. Mwenye kujua anidadavulie jameni, huenda alikuwa mwanae akamukana au alivyo mwambia hatutaki maraisi wa sanii aka wahuni, kamushikaji kame amua kulipiza. Make hamna hata hotuba yake kuhusu mwl? Yaani hata kumuita Baba aka Baba wataifa hajawahi huenda akiwa uraiani atafanya hivyo!! Muulize tu musondo wako wapi leo, utasikia fasta majibu!!
Mbowe ni msaliti kaenda uwanjani badala ya kuhudhuria kongamano la bavicha landmark anavujisha siri za chadomo kwa Jk
kuhusu kuzungumzia swala la mandela kwangu naona ni sawa tu ila hapo kwenye red ndo hata mimi kanishangaza kwa kweli yaan kama sio raisi aiseeUmeonaeeeeee.... raisi mswahili sijawahi kuona yani kanibore mwanzo mwisho... mambo ya vijembe vya kipumbavu mbele ya kadamnasi yanatoka wapi kwa mtu mkubwa kama raisi
Sipendi kuwa mnafiki na sina chama chochote hapa Tanzania,Ningemshanga Rais wetu kama leo asingeongelea juu ya kifo cha Mandela.Rais wetu alikua sawa.