Recent content by Emanuel Kinombo

  1. E

    JamiiForums Tanzania WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

    alioandika waraka huu ---- sana jina sio dini ukisema hivyo na zubeda ya prof jay ?
  2. E

    JamiiForums Tanzania msaada jamani samsung galaxy exhbit T mobile haikubali network

    hiyo cm inatakiwa uifrash ndipo uweze kutumia network ya tz.
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kwenu wasom wa tafa hl

    mimi nakubaliana na mantiki aliyokua nayo ni nzuri sana haijalishi kiswahili alichokitumia.natafakari........
  4. E

    JamiiForums Tanzania hii kazi nisipo acha jela inanita,ushauri please

    pigaaa harafu jiachie jela jela jela kituganiii!ila ulizia wazaziwake wanafanya kaz gani?
  5. E

    JamiiForums Tanzania Tafadhali msaada wa haraka

    hahahahaaaaaa duu nimecheka saana leo kabaaa
  6. E

    JamiiForums Tanzania Tafadhali msaada wa haraka

    duu kupima muhimu sana .na lazima ujue sababu za kuachika kwake ili uweze kukubaliana na yote ila inaweza kua mungu kakupangia huyo au hata shetani pia.
  7. E

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

    kwa dunia ya sasa mhhh na wasiwasi hayo yamepitwa na wakati.
  8. E

    JamiiForums Tanzania P-Funk naye aishukia Clouds FM

    du ni kweli kabisa uliyo yazema kunatatizo kubwa lipo maana huwezi kumfananisha chamilion wa uganda na mtu kama banana ingawa wote wanaimba kiswahili kilekile whyy??
  9. E

    JamiiForums Tanzania P-Funk naye aishukia Clouds FM

    sio p funk tu kunamlolongo mrefu 1.jay dee 2.bushoke 3.prof jay 4.p funk na leo kaibuka dogo yule alie shinda shindano la freestyl na king zila akawa wa pili nimemsahau jina wadau.hivi kwanini wao tu na sio redio nyingine?hapo hata mimi sina jibu
  10. E

    JamiiForums Tanzania Nauza simu mtumba toka Ng'ambo...BEI RAHISI ya KUMALIZIA MZIGO

    shilingi ngapi s2 amu
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nauza simu mtumba toka Ng'ambo...BEI RAHISI ya KUMALIZIA MZIGO

    s2 shilingi ngapi?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Wema tena

    ndo umemaliza kweli kaka
  13. E

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    mimi nimeangalia kwa umakini naibu spika alichukizwa na kitendo cha lisu kuomba muongozo mara nyingi yeye tu sasa sijui kama kuna limit ya kuomba mwongozo mle ndani
  14. E

    JamiiForums Tanzania LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

    hahaaa mesi hatari saaana watashinda lakini kuvuka sina uhakika
Back
Top Bottom