hang'olwa
JF-Expert Member
- Apr 23, 2013
- 538
- 195
ukweli unapigwa vita daima,kupe upo sahihi kaka, mwisho wa bangi ni unga,ila clouds nao ni dole la katiKupe bado muda si mrefu utavalishwa Khanga!
ukweli unapigwa vita daima,kupe upo sahihi kaka, mwisho wa bangi ni unga,ila clouds nao ni dole la katiKupe bado muda si mrefu utavalishwa Khanga!
Ngumu sana kuelewa hadi upate watu wa muziki wakuambie tumefikaje hapa!
Ukweli ni kwamba P funk majani studio yake ndio kijiwe cha kuvutia bange. Pamoja na unga .vijana wengi wa bongo fleva wanajifunzia unga pale kwenye studio yake. Na mlinzi wake wa getini ndio pusha mkumbwa wa bange. Au muuza bangi wa hao bongo fleva.
Jesivavile ne nzala mwee vabinam?
Kwenye studio yake ndio kijiwe cha bangi na unga {drugs} za aina . Pamoja na vilevi vingine . Leo sasa vijana aliowafundisha ulevi wake wanaanza kufariki sasa eti anaibuika na kuilaumu clouds . Kweli mvuta bangi ni mvuta bangi tu. Unatafutia umaarufu kupitia kwa marehemu. Haya khalfan aka majani au kinywele kimoja
just wondering why he never said so, when the man was still alive.......................................
Ujui ukweli wewe.Rais wako wa nchi ndo anahusika sana sana kuua vijana kwa manuva yake na marafiki zake wa karibu.
Tukisema mtaongea hoo,mbona hamleti ushaihidi.We utathubutu kuleta ushahidi gani mbele ya kikuukuwete?Au unataka kunichezea Sharubu?
Mi siogopi,watu wa Gov wengi sana(kuanzia wao na suti zao,watoto zao,marafiki na jamaa zao)ndo after money,na ndo watu wanaoingiza na kutoa drugs kila siku.Think about it,au wewe ni mmoja wao.
hawa kina P FUNK Wanatumia kifo cha ngwair kujipatia umaaarufu ilhali walishafulia kitambo! huyu p-funk si ndio alikuwa anafukuza watoto wanaokuja kurekodi katika studio zake eti hawana swaga na vipaji?? watoto wale wakaenda clouds kule wakatoka kimasomaso
dharirisha? Kiingereza si lugha yetu,kiswahili fasaha je? Ndugu jipange kabla ya kukurupuka! Neno sahihi ni dhalilisha. HalloooooowKwenye studio yake ndio kijiwe cha bangi na unga {drugs} za aina . Pamoja na vilevi vingine . Leo sasa vijana aliowafundisha ulevi wake wanaanza kufariki sasa eti anaibuika na kuilaumu clouds . Kweli mvuta bangi ni mvuta bangi tu. Unatafutia umaarufu kupitia kwa marehemu. Haya khalfan aka majani au kinywele kimoja