Tafadhali msaada wa haraka

Tafadhali msaada wa haraka

wewe cha kufanya mtongoze, ila make sure sitakufahamu mwanaizaya mkubwa wewe! nakufuatilia sana tu!
 
Ndo maana nkaomba ushauri maana humu kuna watu wameshakumbana na changamoto kama hzi ndo wanipe mwongozo kunambia tu nifate moyo wangu haitoshi kadhalika hata me tayali naishi na mtu na nimezaa naye watoto2 mpaka tumejenga tukiwa wote. Haya sasa hapo nafanyaje moyo moyo moyo!! Tusaidiane haya ni makubwa najua wengine wataniona zezeta au mbulura haitakuwa dawa ya jambo hili njoooo na hoja mbadala wandugu. Karibuni

we endelea na huu upuuzi wako wa kudandia usivyovijua! nitakukula kabang' mchana kweupeeee! na huyo unaeishi nae nitamla hii 0656 sitaki hii 0713 wala hii 0714! najua unadhani natania, endelea kuamini hivyo!
 
Best, mwenzio siku hizi nimekuwa mpitaji na msomaji tu!!

Hizi lugha zenu za vifupisho hizi ukimaliza kusoma thread mtu unashindwa kushauri maana nguvu zote za kike na za kiume zinaisha
 
^^
Sifa ya moyo tamaa Moyo sifa yake kutamani,
Tamaa ya moyo inaweza kukuweka matatani,
Ile ndoto ya kitandani,
Achana nayo kama unahisi haiwezekani,
Kuendana nayo unaweza kuota umejenga angani,
TULIZA MOYO WAKO,
KUBALI MAPUNGUFU YAKO,
RAHISISHA MAHITAJI YAKO,
ONGEZA KIPATO CHAKO
CHUNGA TAMAA MBAYA ....
Sifa ya macho kuona, Yaani kutazama,
Kinachoonekana,
Ila sio kila unachokiouna, Ukadhani kupata inawezaka,
Nyumbani kuna msichana,
Njiani utaona wengi wasichana,
Bora kuishia kutazama,
Kuliko kujifanya Unaweza sana,
SIRI YA MAISHA YAKO,
IKO KWA MUUMBA ...........................................
by 20% Tamaa Mbaya
^^
 
^^ Sifa ya moyo tamaa Moyo sifa yake kutamani Tamaa ya moyo inaweza kukuweka matatani Ile ndoto ya kitandani Acha nayo kama una hisi haiwezekani Kuendana nayo unaweza kuota umejenga angani, TULIZA MOYO WAKO KUBALI MAPUNGUFU YAKO RAHISISHA MAHITAJI YAKO ONGEZA KIPATO CHAKO CHUNGA TAMAA MBAYA .... Sifa ya macho kuona Yaani kutazama kinachoonekana Ila sio kila unachokiouna Ukadhani kupata inawezaka Nyumbani kuna msichana Njiani utaona wengi wasichana Bora kuishia kutazama Kuliko kujifanya Unaweza sana SIRI YA MAISHA YAKO IKO KWA MUUMBA ................................................................by 20% Tamaa Mbaya ^^

nakuona best umeamua kumshushia mwenzio mistari
 
Mapenzi haya balaa tupu. Kuna mdada kajaa jirani na nyumbani kwangu nilivyomwana x ya1 kiukweli nlimwangalia kama x3 kwa haraka nikagundua kitu huyu dada ni mzuri wa sura hata na umbo lake pia. Sasa baada ya kupeleleza nakuona mwenyewe kumbe ameachika harafu ana watoto wa3 nikapiga moyo konde kwa kujisemea mwenyewe potezea.haaa! Sasa kila nikimwona natamani kumwambia kitu nimefikia hatua mbaya mwenzenu jamani kiasi kwamba hata nikamwona anaongea na sim nataman kujua anaongea nanan wakati cjamwambia chochote nimekufa nimeoza sijasema naye juzi tumepanda wote gari kwenda kazini bahati nzuri tukakaa kiti k1 mungu wangu cjui niseme kitu gan wana jf mnielewe kifupi ni hayo tu msaada ewnu na mjue KAACHIKA

first of all kaa chini ujiulize kama umempenda kwa dhati au umemtaman kutokana na sura yake na umbo lake zuri?ukishapata jibu kama umempenda kwa dhati kama mwanaume mwenzangu naweza kuku-encourage uyatoe ya moyoni though unaweza kupata wakati mgumu sana kutoka kwake kama ameumizwa huko alikotoka,ila never mind cuz wewe ni mtoto wa kiume mueleze bayana vile unavyojisikia bila kujali atarespond vipi.
 
^^ Naona ana haraka saaana wakati mambo mazuri hayataki haraka....si unakumbuka nilivotumia muda mrefu kukupata? ^^

hahahaaa! Usinikumbushe mbali Himidini, ulijitahidi kweli kuwa na subira, ila nilikutesa masikini!!!!!
 
^^ sifa ya moyo tamaa moyo sifa yake kutamani tamaa ya moyo inaweza kukuweka matatani ile ndoto ya kitandani acha nayo kama una hisi haiwezekani kuendana nayo unaweza kuota umejenga angani, tuliza moyo wako kubali mapungufu yako rahisisha mahitaji yako ongeza kipato chako chunga tamaa mbaya .... Sifa ya macho kuona yaani kutazama kinachoonekana ila sio kila unachokiouna ukadhani kupata inawezaka nyumbani kuna msichana njiani utaona wengi wasichana bora kuishia kutazama kuliko kujifanya unaweza sana siri ya maisha yako iko kwa muumba ................................................................by 20% tamaa mbaya ^^

mmmmh! Nilikumithi
 
ukakaa nae... ukashindwa hata kumsemesha huku kiroho chakudunda.

...wewe unahitaji upewe somo la kutongoza. Opportunity never come twice brother. FURSA FuRSa kijana.
 
Madenge aliulizwa..kwa nini huoi? Akajibu...... namsubiri aliyeachika..... watu wakamshangaa wakamuuliza kwa nini... akajibu mke mwema anatoka kwa bwana

Pata concept kama hiyo uchukue mzigo
 
Endeleen kunipa maujuzi vunjeni ukimya tu ntachambua mwenyewe ndo maana ya jf vichwa vinachaji mwageni uzoefu wenu hapa me ntadadavua mwenyewe.
 
ungekuwa n wewe ungefanyaje kashusha enjini3 harafu ww umekolea na bado kapigwa chini na mmewe huko ungeanzia wapi??? Usinilaum tu.
hapana sijakulaumu! tatizo hujawa specific unataka msaada gani!!! hebu soma post yako kwa makini utajua nini namaanisha!
 
Madenge aliulizwa..kwa nini huoi? Akajibu...... namsubiri aliyeachika..... watu wakamshangaa wakamuuliza kwa nini... akajibu mke mwema anatoka kwa bwana

Pata concept kama hiyo uchukue mzigo

hahahahaha yani ushauri huu niwe makini nicijeingia ch kike asante bwana.
 
Ndo maana nkaomba ushauri maana humu kuna watu wameshakumbana na changamoto kama hzi ndo wanipe mwongozo kunambia tu nifate moyo wangu haitoshi kadhalika hata me tayali naishi na mtu na nimezaa naye watoto2 mpaka tumejenga tukiwa wote. Haya sasa hapo nafanyaje moyo moyo moyo!! Tusaidiane haya ni makubwa najua wengine wataniona zezeta au mbulura haitakuwa dawa ya jambo hili njoooo na hoja mbadala wandugu. Karibuni

kwa hiyo unataka ulienae aachike ili umpate alieyeachika, halafu eti unaomba msaada huku wewe huyohuyo unataka kufanya mtu mwingine aachike bila sababu halafu wanaume wenzio tena wakaombe msaada kwa huyo aliyeachika kwako.
 
Ndo maana nkaomba ushauri maana humu kuna watu wameshakumbana na changamoto kama hzi ndo wanipe mwongozo kunambia tu nifate moyo wangu haitoshi kadhalika hata me tayali naishi na mtu na nimezaa naye watoto2 mpaka tumejenga tukiwa wote. Haya sasa hapo nafanyaje moyo moyo moyo!! Tusaidiane haya ni makubwa najua wengine wataniona zezeta au mbulura haitakuwa dawa ya jambo hili njoooo na hoja mbadala wandugu. Karibuni
Sasa ww umekosea kwasababu hujasema tangia mwanzoni kuwa upo kwenye uhusiano na mzazi mwenzio na mnaishi pamoja!Sasa ulitaka tukushauri nini umuache huyo ulonae uende kwa unaemtamani?Naomba nikuulize kipi kilichokufanya ukazaa na huyo uliyenae ambacho unakiona kinakosekana sasa? Utakuja kuruka mkojo ukanyage mavi shaurizo!
 
dunia ina mengi...nenda kawe baba wa kambo, hautakatalika
 
Back
Top Bottom