P-Funk naye aishukia Clouds FM

P-Funk naye aishukia Clouds FM

Kwenye studio yake ndio kijiwe cha bangi na unga {drugs} za aina . Pamoja na vilevi vingine . Leo sasa vijana aliowafundisha ulevi wake wanaanza kufariki sasa eti anaibuika na kuilaumu clouds . Kweli mvuta bangi ni mvuta bangi tu. Unatafutia umaarufu kupitia kwa marehemu. Haya khalfan aka majani au kinywele kimoja
Wee jamaa hivi unamfahamu kweli P Funky?? Ungejua hatumi bhagi huyu jamaa kwasasa ilikuwa zamani saana,search You tube uone alivyomdhalilshaga Afande Selle kumkata makofi studio kwake alikuja anavuta bhagi hadi pale ofisini.Usikurupuke na Clouds yenye ndio inamaliza wasanii sema nao wanakufa kisabuni.
 
[h=1]VIDEO: P-Funk aongelea Ngwair na madawa. Aichana Clouds FM, aikataza kupiga nyimbo zake[/h] Music, Udaku Spesho 1:35 AM
Video: Producer mashughuli nchini P-Funk afunguka kuhusu msanii aliyeaga dunia Albert Mangwea, maarufu kama Ngwair. P-Funk azungumzia sababuanavyodhani zilipelekea marehemu Ngwea kujiingiza kwenye madawa. Aichana CloudsFM kwa kile anachokiona kama dhulma kwa wasanii, na kwamba dhuluma za Clouds Fm ni moja wapo ya vitu vilivyosababisha maisha ya Ngwear yawe na muelekeo mbaya. “Ngwair alikua kama ng’ombe wenu; mnamkamua tu maziwa.”
Akizungumzia kuhusu kuikataza Clouds FM kupiga nyimbo za Bongo Records, P-Funk amesema:
“Niko kwenye harakati za kuandaa barua ili nistopishe nyimbo zangu zote za Bongo Records, zisipigwe Clouds Fm, sababu ya A, B, and C. Moja wapo kikubwa ni uonevu wa haki miliki. Nyinyi, ndio number one radio station; ndio mnajipotray hivyo. Kisaikolojia wasanii wote mmewateka. Wote wanaona “bila kupeleka nyimbo yangu Clouds, sitofanikiwa.” Mimi cha kwanza nataka kuonyesha mfumo mwingie. kwamba bila nyinyi tutaweza. Cha pili mnaingiza hela sana ya wadhamini, lakini hamui-distribute kwa wanaohusika. Ambao wanahusika kupewa hela yake hapewi. Mnaingiza mabilioni lakini hati miliki haichezi. kwanini niendelee kusapoti empire kama hiyo wakati mimi ni chanzo cha Clouds FM kuwepo pale. Na mfumo wa kupeleka nyimbo Clouds nilianzisha mimi hapa. So mimi nitakua wa kwanza kujitoa na kuanzisha mfumo mwingine.”
“Tulikua tunakaa kwenye hiki kibenchi na mangwea na kikonyagi chake and always complaining about who? Clouds FM!”

Angalia Video Hapa:

VIDEO: P-Funk aongelea Ngwair na madawa. Aichana Clouds FM, aikataza kupiga nyimbo zake | Udaku Specially
 
Nimesema hakuna kupiga bongo fleva mpaka atakapoingia dj wa saa sita usiku.........shikamoo Rug*

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Janga + majanga

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwenye studio yake ndio kijiwe cha bangi na unga {drugs} za aina . Pamoja na vilevi vingine . Leo sasa vijana aliowafundisha ulevi wake wanaanza kufariki sasa eti anaibuika na kuilaumu clouds . Kweli mvuta bangi ni mvuta bangi tu. Unatafutia umaarufu kupitia kwa marehemu. Haya khalfan aka majani au kinywele kimoja

Pakaa dawa usiogope kelele zaa Mgonjwa...
Huu ndio ukweli ingawa kuna konokono wanatokwa povu kuufanya uonekane uongo.
 
[h=1]VIDEO: P-Funk aongelea Ngwair na madawa. Aichana Clouds FM, aikataza kupiga nyimbo zake[/h] Music, Udaku Spesho 1:35 AM
Video: Producer mashughuli nchini P-Funk afunguka kuhusu msanii aliyeaga dunia Albert Mangwea, maarufu kama Ngwair. P-Funk azungumzia sababuanavyodhani zilipelekea marehemu Ngwea kujiingiza kwenye madawa. Aichana CloudsFM kwa kile anachokiona kama dhulma kwa wasanii, na kwamba dhuluma za Clouds Fm ni moja wapo ya vitu vilivyosababisha maisha ya Ngwear yawe na muelekeo mbaya. “Ngwair alikua kama ng’ombe wenu; mnamkamua tu maziwa.”
Akizungumzia kuhusu kuikataza Clouds FM kupiga nyimbo za Bongo Records, P-Funk amesema:
“Niko kwenye harakati za kuandaa barua ili nistopishe nyimbo zangu zote za Bongo Records, zisipigwe Clouds Fm, sababu ya A, B, and C. Moja wapo kikubwa ni uonevu wa haki miliki. Nyinyi, ndio number one radio station; ndio mnajipotray hivyo. Kisaikolojia wasanii wote mmewateka. Wote wanaona “bila kupeleka nyimbo yangu Clouds, sitofanikiwa.” Mimi cha kwanza nataka kuonyesha mfumo mwingie. kwamba bila nyinyi tutaweza. Cha pili mnaingiza hela sana ya wadhamini, lakini hamui-distribute kwa wanaohusika. Ambao wanahusika kupewa hela yake hapewi. Mnaingiza mabilioni lakini hati miliki haichezi. kwanini niendelee kusapoti empire kama hiyo wakati mimi ni chanzo cha Clouds FM kuwepo pale. Na mfumo wa kupeleka nyimbo Clouds nilianzisha mimi hapa. So mimi nitakua wa kwanza kujitoa na kuanzisha mfumo mwingine.”
“Tulikua tunakaa kwenye hiki kibenchi na mangwea na kikonyagi chake and always complaining about who? Clouds FM!”

Angalia Video Hapa:

VIDEO: P-Funk aongelea Ngwair na madawa. Aichana Clouds FM, aikataza kupiga nyimbo zake | Udaku Specially

Wakuu msikilzeni P funk mwenyewe aliyekuwa karibu na Marehemu sio umesimuliwa na dada yako mnakuja kuleta umbea wa kike.

1st of all P funk alipinga Madawa ya Kulevya that why alimuita na kumuuliza Marehemu abt if he use Drugs na Ngwea alikuwa kama mkali flani,,so hadi dakika hii ni Majani peke yake aliyekiri kama Marehem alikuwa anatumia Drugs.
 
sio p funk tu kunamlolongo mrefu 1.jay dee 2.bushoke 3.prof jay 4.p funk na leo kaibuka dogo yule alie shinda shindano la freestyl na king zila akawa wa pili nimemsahau jina wadau.hivi kwanini wao tu na sio redio nyingine?hapo hata mimi sina jibu

Anaitwa lusajo yule dogo....namuonea huruma kwa sababu ana kipaji kikubwa sana lakini wameishia kumfanyisha shoo za bure na vitisho mpaka kapotea
Thiz world z not fair
 
Mimi mdau mkubwa sana wa bongo fleva uhuni wa wafufm hauvumiliki subirini wengine wataongezeka kuelezea bifu zao na hawa Jamaa WAFUFM MIMI NARUDIA TENA NO FUTURE OF MUSIC TANZANIA WITH THESE GUYS WAFUFM. Wameua vipaji vingi sana zaidi wamehusika sana kupoteza aina music wetu kisa ni oppotunisty za dhulma kwa wasanii. Tujifunze hapo Uganda tuu nchi ndogo kuliko yetu lakini wasanii wananufaika na muziki wao tuu hapa kwetu kazi sana msanii kunufaika anashindwa hata kuishi kwa kazi yake kwelii???????
 
du ni kweli kabisa uliyo yazema kunatatizo kubwa lipo maana huwezi kumfananisha chamilion wa uganda na mtu kama banana ingawa wote wanaimba kiswahili kilekile whyy??
 
Mimi mdau mkubwa sana wa bongo fleva uhuni wa wafufm hauvumiliki subirini wengine wataongezeka kuelezea bifu zao na hawa Jamaa WAFUFM MIMI NARUDIA TENA NO FUTURE OF MUSIC TANZANIA WITH THESE GUYS WAFUFM. Wameua vipaji vingi sana zaidi wamehusika sana kupoteza aina music wetu kisa ni oppotunisty za dhulma kwa wasanii. Tujifunze hapo Uganda tuu nchi ndogo kuliko yetu lakini wasanii wananufaika na muziki wao tuu hapa kwetu kazi sana msanii kunufaika anashindwa hata kuishi kwa kazi yake kwelii???????

Future ya music wa bongo iko wapi?.Kwanini wasanii wakibongo hawaifuati hiyo future?
 
clouse wanatafutia umaarufu kwenye kifo cha ngwea kwanini akiwa hai walikua hawapigi nyimbo zake kiivyo na huenda walimwekea fitna kama za Jay dee ila kwa vile keshakufa wanajifanya oh wanamjali
 
Future ya music wa bongo iko wapi?.Kwanini wasanii wakibongo hawaifuati hiyo future?

Swala sio kuifuata future tayari fursa ipo kubwa sana tatizo hawa wanaohodhi fursa hizi hawataki kutoa kwa wenyewe huwezi kuwa muandaaji, mpishi, muonjaji,, mlaji na mgawaji wewe alafu wengine wawe upande upi? Hebu niambie mtoto wa mjini nani wakuja kunufaika kimuziki Tanzania kwa mfumo ulipo kama hujui WAFUFM NI waandaaji wa wasanii mapromota wao wenye chombo cha radio tv wao wenye kuaandaa matamasha makubwa yote ni wao kuuza kazi za wasanii ni wao pia ukithubutu kufanya chochote Kati ya hivyo utafanyiwa fitna mpaka ufe kumbuka kisa cha Sugu.
 
Last edited by a moderator:

Kama nimekuelewa vizuri,unamaanisha kuwa hakuna anayeweza kupambana Clouds?
 
Back
Top Bottom