Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

Usithubutu kuoa mwanamke wa hivi

When" À' is element of a subset of element B, then À, element behave B character." Also recall gene theory...will proof this.
 
Mume/mke mwema hutoka kwa Mungu. Si kabila, wala nini, ukimshirikisha Mungu utapata umtakae coz unaweza ukakwepa hayo uliyoyataja na bado ukapata koroma mkuu!!
 
asante kwa ushauri wako lakini kuna baadhi ya point nakubaliana nazo nyingine sikubaliani nazo
 
Hebu acheni kushabikia utengano makosa ya familia na wanandungu ndiyo yanikoseshe mke.Upuuzi gani tena huu? Sasa hao waolewe na nani point nzuri we mchunguze mtu wako kama mnafanana swaga we oa tu.
 
masikini hapana umasikini sio kasoro ujinga huo.

Kabira wewe mwehu kweli hivyo wahaya , wanyaturu woote wasiolewe dharau za kurithi.

Unajua huenda umejitathimini wewe tu ukaanza kumwaga pumba. Mzinzi akaoe mtu aliyetulia.

Kila mwanamke duniani ana aina ya mwanaume anayefaa kumuoa mf mzinzi + mzinzi au mwizi kwa mwizi mkolofi kwa mkolofi
handsome kwa beautful kikubwa mrandane sura tabia na uwezo wa kufikiri.

Mtoa mada unatakiwa kuoa alieishia darasa la pili una uwezo mdogo mno wa kuchambua mambo.
 
We ni mtambo kabisa peleka kwenye kichen pat upuzi wako huu! Kwani we umeshaolewa?
 
Akili za kuambiwa changanya na zako!!! Mke mwema au mume mwema anataoka kwa Mungu. Hata kwa wale wasioamini Mungu mke/mume mwema ni just by lucky....... wapo watu kipindi cha uchumba walionekana watu wema ila kwenye ndoa wamekuwa mashwetani...kuna waliokuwa wanaonekana wana kasoro ila kwenye ndoa wamekuwa na mwenendo mzuri hasa na ndoa zao zina furaha na amani. So sio kila imamu/mchungaji anahubiri swala wengine ni wahubiri vita
 
the same goes out to men also,wanawake pia wasikubali kuolewa na wanaume wenye hizo sifa.
 
Ndoa bora ni mipango ya Mungu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Lakini unatakiwa kufanya sehemu yako na mungu anaweka baraka zake au sio mkuu...?
 
Tabia ya mtu na hayo makabila yanahusiana vipi?
 
acha uwoga bana ! hakuna fumula wangu! mwanamke yeyote au mwanaume yeyete anaweza kubadilika inategemea na uwezo wako wa kutawala mazingira na pia kumtegemea MUNGU.
hakuna ukweli wowote ule kumbuka zamani watu walikuwa wanaoa barmaid(sina uhakika na hilo neno) na walikuwa wanatulia.
acha izo bana kuwa mwanaume wa kweli unayeweza kupambana na changa moto za wanawake. (tabu we mwenyewe unamfukuzia mwanamke ushaacha ------ wazi unategemea nini lazima demu akusumbue kwa kuwa wewe mwenyewe huna uhakika na jinsia yako)
ila mwisho wa siku show bwana kama hujiwezi hata aweje utapata tabu tu
 
Mhhhhhhhhhhhhhhhh!HHHHHHHHHHHHHHHhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!, hapa ipo shughuli!!!!!!!!! Pole baba. Ila chukua taadhali zote lakini ufaihamu neno hili . Bwana Yesu asipoujenga mji, wajengao wafanya kazi bur", "Bwana Yesu asipoulinda mji, walindao wakesha bure" "Mke !mwema hutoka kwa bwana".Angalia sana vigezo unavyoweka kwa kuogopa kukosea ndivyo vinaweza kukufanya ukosee!. Naogopa unaweza kumkosea Mungu kwa kudhani maskini wanapenda kuwa maskini ama wote ni wezi!. Mafisadi na ccm wanaoifilisi nchi yetu, ni maskini?
 
hayo mawazo mgando tuu...labda namba 6 ndo naweza kubaliana nayo hayo mengine hakuna kitu na utambue huwezi kutana na mtu aliyekamilika hata kidogo lazima atakuwa na moja kati ya hayo...sasa kama utakuwa unamsubiri asiye na hizo character hutakaa uoe!
 
Wewe ni Kihande kwelikweli,nakubaliana na mchagia mada aliyesema kuwa umewaingiza Wahaya kwenye mada yako ili ipate wachangiaji.Ushauri mfu kutoka kwenye jeneza lako(kichwa).
 
Hv umefikiria nn ukaileta hii mada humu,huyo m'ke utakuwa hujampenda kweli umempenda utakumbuka kuchunguza yote hayo? acha ulimbukeni wa mawazo na kasumba ndiyo inakusumbua ww.
 
sasa tuoe nani ...? wengi wanasifa hizo ulizotaja...
 
Pia usije kuolewa na mtu ambaye wazazi wake waliachana au kutengana kwani naye hatakuwa anaona umuhimu wa ndoa hata kama ameolewa, hii inatokana na kuathirika kisaikologia, uwezekano wa ndoa kuja kuvunjika baadaye ni mkubwa. Kama huamini chunguza!
 
Back
Top Bottom