LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

LIVE: Barca VS AC Milan...Barca akifudhu ntajing'ata mgongoni

kwa hiyo mpaka sasa Barca 2 - 2 Ac Milan,au nimekosoea?
:msela:
 
Gang Chomba tunaomba tathmini ya hizi dakika 45. Na pia unaweza kumuelezea vipi mshambuliaji
aliyefunga hizo goli mbili.....Studio
 
Last edited by a moderator:
nyie mmezoea soka lenu la uingereza.hamjatujua waitaliano vizuri.mtaliano hufungwa mechi rahisi sio ngumu.ngojeni muone.kwa uhuru kabisa nasema ntarudi saa saba humu kutoa pole kwa barca na pongezi kwa chomba!

Nilikwambieni kuwa Messi atapiga goli 4 (hat-trick + 1).
Halftime tayari kapiga 2.....I rest my case!
 
Memememememeeeeeeesssiiiihiiiiiiii duh messi kashindwa kufunpa goli hapa.aminia MESSI (10)noma
 
klabu yenye mafanikio na makombe meengi zaidi ya kimataifa hapa nalazimika kuitaja Klabu ya AC Milan yenye maskani yake katika Barabara ya Turati iliyopo Sansiro katika Wilaya ya Milan usiku wa leo inaingia katika uwanja wa Nou Camp kwenda kupambana na Barcelona ambao tayari wako nyuma kwa goli mbili kwa bila.

Numero uno Milan wakiwa kwenye kiwango kizuri wanatarajiwa kuhitimisha safari ya Barca hii leo, kwani kwa matokeo yaliopo sasa yanaonyesha wazi kuwa Barca ashabakwa na leo wanalazimika tu kwenda kukamilisha ratiba.

katika mechi ya mwanzo iliofanyika wiki kadhaa zilizopita Milan waliwasasambua Barca na kuwacharaza goli 2-0 huku Milan ikimkosa siku hiyo mshambuliaji wake mahiri waliemsajili mwezi Januari Super Mario Balotelli ambaye kafunga magoli 6 ktk mechi 6 lakini Barca nao walimkosa mshambuliaji wao Lionel Messi ambaye alicheza lakini akafunikwa bila kuwa na Madhara yoyote.

Makamo mwenyekiti wa AC Milan Adriano Galiani ameweka wazi kuwa hata Barca wakipanga golini makipa wao wote wawili haitawazuia Milan kupata Goli leo.
na kuongeza kuwa ni jukumu la Refa kuwa Fair...hatutegemei maamuzi kuwa mabovu na yenye kuwabeba Barcelona kama yaliyofanyika msimu uliopita.

Milan wamelibeba kombe hili la klabu bingwa barani ulaya mara 7, mara mbili nyuma ya Madrid na wachambuzi wa maswala ya Soka wamewataja kuwa wanao uwezo wa kulibeba msimu huu.

Milan wanaingia uwanjani huku wakimkosa mshambuliaji wao Gianpaolo Pazzo Pazini aliyepata majeraha katika mechi ya ligi walioshinda goli 2-0 ijumaa iliopita.

Its Final Battle between Gutierez VS Gang Chomba.

MY PREDICTION...
Watashindana lakini hawatashinda...
Forza Milan.
Per Sempre Noi
Grande Milan

ushaanza kuvua...
 
Its make a difference if you have a player like Messi in you first 11
 
  • Barcelona
  • AC Milan
[TABLE="class: no-borders"]
[TR]
[TD="class: first"]7(4)[/TD]
[TD="class: center"]Shots (on goal)[/TD]
[TD="class: right last"]4(2)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]2[/TD]
[TD="class: center"]Fouls[/TD]
[TD="class: right last"]5[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]4[/TD]
[TD="class: center"]Corner kicks[/TD]
[TD="class: right last"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]0[/TD]
[TD="class: center"]Offsides[/TD]
[TD="class: right last"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]74%
[/TD]
[TD="class: center"]Time of Possession[/TD]
[TD="class: right last"]26%[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]1[/TD]
[TD="class: center"]Yellow Cards[/TD]
[TD="class: right last"]1[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]0[/TD]
[TD="class: center"]Red Cards[/TD]
[TD="class: right last"]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: first"]2[/TD]
[TD="class: center"]Saves[/TD]
[TD="class: right last"]2


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
log
Hizi Team zinazopaki mabasi zinatuharibia mpira, hata kama AC watashinda on aggregrate this is not how football should be played, Team kama hizi ni za kuondoa for the good of football
 
nawaangalia tu naona woga-woga tu
mlifikiri barca itapigwa?

wacheni mambo yenu timu zinajulikana apa duniani

barca for life
 
Natamani nikuone unavyofanya mazoezi ya kujiuma mgongo maana hali ni tete!
 
Back
Top Bottom