Chombo binafsi kina uhuru wa kutangaza habari ambazo kinaona zinafaa. No limitations no rules. Mradi ni za kweli!
Chombo cha Umma, kinachoendeshwa kwa kodi kodi za wananchi wote, bila kujali vyama au dini, rangi au kabila, ni MAKOSA kuamua kutoa taarifa za upendeleo kwa tofauti za itikadi ya...