Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

Mareks

Member
Oct 10, 2015
49
0
Tafsiri ya nilichokiandika kitatokana na uwezo wako wa kusoma kuelewa na kupambanua maandishi yangu..,na let me assure U kuwa i'm only responsible na ninachokiandika but i'm not responsible na unavyotafsir..tafsiri ni mali yako, sina kawaida to get crossed onto others business...

teh teh teh kweli english ngumu ???mweee
 
Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
14,232
2,000
Juliana, vipi uko free nije...!!! Jiandae basi...!!! I want deep deep today...!!!

Leo hadi utembee upande upande..!!!
Sababu unawashwa sana wee..!!🍆🍆🍆🚾🚾🐎🐎
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Katika kipindi ambacho CHADEMA na UKAWA wanatakiwa kurelax sana katika chaguzi zote kubwa na ndogo ni kipindi hiki, ambacho Yule mwizi maarufu wa kura aliyejulikana kwa jina la Matson Chizi (64) msukuma wa Shinyanga ameamua kujiunga na CHADEMA kwa kazi maalum ya kuiba kura za CCM na kuwaguarantee ushindi CHADEMA na UKAWA.

Kwa mara ya kwanza kulisikia jina hili, ilikuwa 2012 Arumeru kisha kwa mara ya pili nikalisikia nilipojiunga CCM na kwa mara nyingine jina hilo lilitamkwa na Dr Wilbrord Slaa katika press yake na waandishi wa habari katika ukumbi wa Serena mnamo tarehe 01/09/2015 akieleza juu ya kujiondoa kwake CHADEMA na kustaafu siasa baada ya uhuni wa kuletwa LOWASSA na timu yake ya wezi ya akina MATSON CHIZI.

Lakini nasikia bado kuna mashaka kwa CHADEMA, nasikia mwanasheria wao "zuzu" ninayemjua John Mallya, amesema wanachama wanapaswa kulinda kura kwa sababu CCM wamepanga kuiba. AJABU ya mwaka, mwizi amehama CCM na alikohamia ni CHADEMA na bado CHADEMA wana mashaka ya kuibiwa kura…kwanini mashaka hayo wasiwenayo CCM ambae wamepoteza MWIZI wao..?

Kimsingi MBOWE na timu yako mmeshalikoroga.,subirini kulinywa tu, hakuna namna..!!

IMG_1080.JPG

Matson Chizi (kushoto) Juma Haji Duni (katikati) na Edward Ngoyai Lowassa.

At least mnakubali huwa mnashinda kwa kuiba Kura. Its a step forward. Next step will be to realize kuwa kwa kuwa mmekuwa mnaiba kura, hamna ridhaa ya wananchi kuongoza nchi na hivyo chochote mnakifanya kinatupeleka karibu zaidi na kupoteza amani yetu kwa gharama ya tamaa zenu za kishetani!
 
Jasusi

JF-Expert Member
May 5, 2006
11,525
2,000
Katika kipindi ambacho CHADEMA na UKAWA wanatakiwa kurelax sana katika chaguzi zote kubwa na ndogo ni kipindi hiki, ambacho Yule mwizi maarufu wa kura aliyejulikana kwa jina la Matson Chizi (64) msukuma wa Shinyanga ameamua kujiunga na CHADEMA kwa kazi maalum ya kuiba kura za CCM na kuwaguarantee ushindi CHADEMA na UKAWA.

Kwa mara ya kwanza kulisikia jina hili, ilikuwa 2012 Arumeru kisha kwa mara ya pili nikalisikia nilipojiunga CCM na kwa mara nyingine jina hilo lilitamkwa na Dr Wilbrord Slaa katika press yake na waandishi wa habari katika ukumbi wa Serena mnamo tarehe 01/09/2015 akieleza juu ya kujiondoa kwake CHADEMA na kustaafu siasa baada ya uhuni wa kuletwa LOWASSA na timu yake ya wezi ya akina MATSON CHIZI.

Lakini nasikia bado kuna mashaka kwa CHADEMA, nasikia mwanasheria wao “zuzu” ninayemjua John Mallya, amesema wanachama wanapaswa kulinda kura kwa sababu CCM wamepanga kuiba. AJABU ya mwaka, mwizi amehama CCM na alikohamia ni CHADEMA na bado CHADEMA wana mashaka ya kuibiwa kura…kwanini mashaka hayo wasiwenayo CCM ambae wamepoteza MWIZI wao..?

Kimsingi MBOWE na timu yako mmeshalikoroga.,subirini kulinywa tu, hakuna namna..!!

IMG_1080.JPG

Matson Chizi (kushoto) Juma Haji Duni (katikati) na Edward Ngoyai Lowassa.
Kwa taarifa hii unatuthibitishia kuwa ni kweli CCM wamekuwa wakishinda kwa kuiba kura. Siku za mwizi 40.
 
Pima mwenyewe

JF-Expert Member
Nov 20, 2012
891
0
Jamani Kinje gombare kasemaje star tv sasa hivi jamani eeeeee upesiiiiiiiii mwaga uzi na mapicha you tube fastaaaaa
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
19,874
2,000
Katika kipindi ambacho CHADEMA na UKAWA wanatakiwa kurelax sana katika chaguzi zote kubwa na ndogo ni kipindi hiki, ambacho Yule mwizi maarufu wa kura aliyejulikana kwa jina la Matson Chizi (64) msukuma wa Shinyanga ameamua kujiunga na CHADEMA kwa kazi maalum ya kuiba kura za CCM na kuwaguarantee ushindi CHADEMA na UKAWA.

Kwa mara ya kwanza kulisikia jina hili, ilikuwa 2012 Arumeru kisha kwa mara ya pili nikalisikia nilipojiunga CCM na kwa mara nyingine jina hilo lilitamkwa na Dr Wilbrord Slaa katika press yake na waandishi wa habari katika ukumbi wa Serena mnamo tarehe 01/09/2015 akieleza juu ya kujiondoa kwake CHADEMA na kustaafu siasa baada ya uhuni wa kuletwa LOWASSA na timu yake ya wezi ya akina MATSON CHIZI.

Lakini nasikia bado kuna mashaka kwa CHADEMA, nasikia mwanasheria wao zuzu ninayemjua John Mallya, amesema wanachama wanapaswa kulinda kura kwa sababu CCM wamepanga kuiba. AJABU ya mwaka, mwizi amehama CCM na alikohamia ni CHADEMA na bado CHADEMA wana mashaka ya kuibiwa kurakwanini mashaka hayo wasiwenayo CCM ambae wamepoteza MWIZI wao..?

Kimsingi MBOWE na timu yako mmeshalikoroga.,subirini kulinywa tu, hakuna namna..!!

IMG_1080.JPG

Matson Chizi (kushoto) Juma Haji Duni (katikati) na Edward Ngoyai Lowassa.

Ngoja tumwambie chizi kama kuna mtu anaitwa shonza anakuchafua mtandaoni kama ww ni mwizi bila mahakama kusibitisha uone kama hamjauza miji
 
Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,658
2,000
Unawezaje kumwita John Malya kwamba ni wakili Zuzu? Juliana Shonza wewe ni binti mdogo na ninadhani kuwa hata mchumba huna, kwa matusi ambayo huwa unayaporomosha humu ndani, sidhani unaweza kupata mchumba kirahisi labda uolewe na Nape!!
 
Last edited by a moderator:

kISAIRO

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,799
2,000
Katika kipindi ambacho CHADEMA na UKAWA wanatakiwa kurelax sana katika chaguzi zote kubwa na ndogo ni kipindi hiki, ambacho Yule mwizi maarufu wa kura aliyejulikana kwa jina la Matson Chizi (64) msukuma wa Shinyanga ameamua kujiunga na CHADEMA kwa kazi maalum ya kuiba kura za CCM na kuwaguarantee ushindi CHADEMA na UKAWA.

Kwa mara ya kwanza kulisikia jina hili, ilikuwa 2012 Arumeru kisha kwa mara ya pili nikalisikia nilipojiunga CCM na kwa mara nyingine jina hilo lilitamkwa na Dr Wilbrord Slaa katika press yake na waandishi wa habari katika ukumbi wa Serena mnamo tarehe 01/09/2015 akieleza juu ya kujiondoa kwake CHADEMA na kustaafu siasa baada ya uhuni wa kuletwa LOWASSA na timu yake ya wezi ya akina MATSON CHIZI.

Lakini nasikia bado kuna mashaka kwa CHADEMA, nasikia mwanasheria wao “zuzu” ninayemjua John Mallya, amesema wanachama wanapaswa kulinda kura kwa sababu CCM wamepanga kuiba. AJABU ya mwaka, mwizi amehama CCM na alikohamia ni CHADEMA na bado CHADEMA wana mashaka ya kuibiwa kura…kwanini mashaka hayo wasiwenayo CCM ambae wamepoteza MWIZI wao..?

Kimsingi MBOWE na timu yako mmeshalikoroga.,subirini kulinywa tu, hakuna namna..!!

IMG_1080.JPG

Matson Chizi (kushoto) Juma Haji Duni (katikati) na Edward Ngoyai Lowassa.
Pole sana dada angu, ulikochagua Mbeya viti maalum utavisikia tu hewani, wenzako wanapiga kazi wewe unaendeleza Propaganda
 
kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,736
2,000
Katika kipindi ambacho CHADEMA na UKAWA wanatakiwa kurelax sana katika chaguzi zote kubwa na ndogo ni kipindi hiki, ambacho Yule mwizi maarufu wa kura aliyejulikana kwa jina la Matson Chizi (64) msukuma wa Shinyanga ameamua kujiunga na CHADEMA kwa kazi maalum ya kuiba kura za CCM na kuwaguarantee ushindi CHADEMA na UKAWA.

Kwa mara ya kwanza kulisikia jina hili, ilikuwa 2012 Arumeru kisha kwa mara ya pili nikalisikia nilipojiunga CCM na kwa mara nyingine jina hilo lilitamkwa na Dr Wilbrord Slaa katika press yake na waandishi wa habari katika ukumbi wa Serena mnamo tarehe 01/09/2015 akieleza juu ya kujiondoa kwake CHADEMA na kustaafu siasa baada ya uhuni wa kuletwa LOWASSA na timu yake ya wezi ya akina MATSON CHIZI.

Lakini nasikia bado kuna mashaka kwa CHADEMA, nasikia mwanasheria wao “zuzu” ninayemjua John Mallya, amesema wanachama wanapaswa kulinda kura kwa sababu CCM wamepanga kuiba. AJABU ya mwaka, mwizi amehama CCM na alikohamia ni CHADEMA na bado CHADEMA wana mashaka ya kuibiwa kura…kwanini mashaka hayo wasiwenayo CCM ambae wamepoteza MWIZI wao..?

Kimsingi MBOWE na timu yako mmeshalikoroga.,subirini kulinywa tu, hakuna namna..!!

IMG_1080.JPG

Matson Chizi (kushoto) Juma Haji Duni (katikati) na Edward Ngoyai Lowassa.

Wewe unazungumzia kura mbona haujishangai wewe uliyeiba mume wa MTU akakujaza na mimba ukaitoa ulipokuwa kwenye chaguzi za udiwani kule Arusha?
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
54,249
2,000
Hebu tueleze kindakindaki, huo umaarufu wa wizi wa kura aliupata lini na akiwa mwanachama wa chama kipi?

Isijekuwa kunya anye kuku lakini zigo likishushwa na bata basi tuuite uharo...

Halafu ni mahakama ipi iliyomuhukumu huyo bwana kuwa ni mwizi wa kura? Na alitumikia adhabu gani?

Katika kipindi ambacho CHADEMA na UKAWA wanatakiwa kurelax sana katika chaguzi zote kubwa na ndogo ni kipindi hiki, ambacho Yule mwizi maarufu wa kura aliyejulikana kwa jina la Matson Chizi (64) msukuma wa Shinyanga ameamua kujiunga na CHADEMA kwa kazi maalum ya kuiba kura za CCM na kuwaguarantee ushindi CHADEMA na UKAWA.
 
tubadilike-sasa

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
683
195
Shonza umeishia darasa la ngapi? Kwa nini unaandika upuuzi wa mtoto anayenyonya dole gumba? Heshima yako inatokana na kile kiujazacho moyo wako. Na huwa kinatoka kupitia mdomo au maandishi kama ulivyoandika. Acha kuandika upuuzi,andika vitu vya kuelimisha na kuhabarisha. Hii itakusaidia kutanua mapana na marefu ya misuli ya ubongo wako. Ukiandika kama unavyoandika unajilegeza mwenyewe na hutaweza kufikisha upeo katika wingu kwa kiasi kile Mungu alichokujalia. "Hapo kazi tu" sio? Hapa kazi tu ni pamoja na kujituma kufikiri na kufanya mambo tofauti. Kuvaa lensi inayoona mbali zaidi na kuleta matunda tofauti katika maono na matendo. Kutafuna,Kumeza,na kucheua propaganda za kizamani walizotumia akina Moses Mnauye ni kupotea katika mahitaji ya sasa na kisasa ya siasa za Tanzania. Jiongezee thamani kwa kuandika tafakuri zenye "substance". Ni ushauri wa bure
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom