Against Twaweza opinion poll - No validation (Pingamizi la utafiti wa Twaweza)

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Kudai validation ni muhimu sana. Kama unauhakika na kitu ulichofanya huwezi kukwepa validation. Kwa kuwa wanajua walichofanya chumbani ndiyo maana hawakudiriki kutoka barabarani kufanya validation. Ingewaumbua vibaya sana.

Sana mkuu. Ndiyo maana nikasema validation kwa matokeo yenye maswali kama yale ni hatua ya mbali sana.
 

Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
kampeni bado hazikua zmeanza maana zilianza tar 22 aug wao walifanya utafiti mwanzoni mwa mwezi wa 8 leo majibu wanatoa eti ccmizi anaongoza duh inashangaza
Yaani we acha. The so called utafiti ulishapitwa na wakati, wangendelea kukaa nao chumbani.
 

Stabilaiza

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
1,843
2,000
Sana mkuu. Ndiyo maana nikasema validation kwa matokeo yenye maswali kama yale ni hatua ya mbali sana.
Nimekuelewa. Ila hawa inabidi tuwape somo maana hawajui wanalotenda na hawawezi ingawa wanajiita Twaweza.
 

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Nimekuelewa. Ila hawa inabidi tuwape somo maana hawajui wanalotenda na hawawezi ingawa wanajiita Twaweza.

Sidhani kama hawawezi. Ni ujinga wa demokrasia za kiafrika. Kwamba unataka uonekane kwako kuna demokrasia wakati kuna chama kinaegemea polisi, Usalama na mahakamani! Matokeo yake mijitu kama hiyo inahongwa itangaze matokeo yasiyoeleweka na yenyewe inatangaza tu kama vile nchi nzima ina wanafunzi wa chekechea kasoro wao!

Hardly wamejishushia hadhi!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom