Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

MANGAX

Member
Jun 18, 2014
28
20
Kumbuka team INA watu 30!
Magufuli mwenyewe anauzito kuliko hata ccm kama chama! Kumbuka JPM ni jeshi la mtu mmoja!

Na hata ukiiombea mabaya team Magufuli unajichosha tu! Kumbuka....
Tembo hata akikonda vipi hawi kama mbuzi!

wajuze bwana,kuna baadhi ya wana timu ya kampen ya ccm ni wagombea ubunge bulembo hana jimbo so wataendelea kuungana nae kutegemea mwanatimu yupi aliyepo karibu na eneo la kampeni...kwa bahati mbaya 80% ya wapigakura ht jf,fb nk hawazijui...anzeni kujiandaa kisaikolojia kwani JPM ndo Rais wa awamu ya 5
 
Sungurawembe

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
414
195
Kauli mbiu yenu Hapa ni kazi tu, kweli mwaka huu kazi mnayo.
Ndio sababu kutwa kucha CCM inajaribu kufanya kampeni kwa kutumia lugha chafu, na hata kupika matokeo kwa kutumia TWAWEZA na REDET.
Ukweli ni kwamba Magufuli na CCM haiuziki, watu tumewachoka, na siyo siri.
Na hizo njama zinazotumiwa kutaka kulazimisha kukubalika ndizo zinazokwenda kuwamaliza!
Bora uanze vibaya umalizie vizuri
 
mkwere59

Member
Sep 5, 2015
11
20
Tuwe na utamaduni wa kuheshimu na kutilia shaka katika kila tafiti zinazofanywa na tasisi mbalimbali kama vile TWAWEZA n.k hususa katika kipindi hiki nyeti kuelekea uchaguzi mkuu lakini tukumbuke kuwa tafiti kama hizi hazifanyiki TZ tu bali duniani kote na hasa hasa katika nchi zilizo endelea so pengine kupitia tafiti hizi kunawapa nguvu wanasiasa wetu ni wapi wamejikwaa ili walekebishe na kuweza kufanya vizuri na kitu kingine ni kwamba tafiti inapingwa na tafiti nyingine na sio maneno ya kwenye kahawa! Kwa ww unaeona kuwa TWAWEZA wamehongwa ili kukipendelea chama tawala basi tuletee na ww utafiti wako na sio kulalama tu.
 
Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,867
2,000
Kama vile ndondi, raundi ni ya 6 bondia ccm inaonekana ameshachoka sana, kumbuka mwisho ni raundi 12. Watazamaji subirini kuanzia tarehe 4/10/2015. Ccm watapotea kabisa. Na ndiyo ule utabiri wa Kakobe utakapotimia.
 
kazikwanza1981

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
1,579
1,500
Na hii ndio picha kwamba wananchi wamechoshwa na watawala.
wanakula nchi wanabakiza mtaji wa kutumia kulaghai wananchi pindi uchaguzi ukikaribia.
safari hii,hizo fedha wale watafiti,sisi msimamo wetu ni mmoja tu LOWASA for presidency.
Ila kumbuka wakati unashabikia hivyo Lowassa na Sumaye walikuwa kwenye hiyo hiyo serikali kwa zaidi ya miaka 30, tena

kwenye positions za juu kabisa.
 
50thebe

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,699
2,000
Twaweza walikatiwa fungu la kutakata. Zipo tweets za Nchemba na Makamba wakipanga mipango hiyo ili kurudisha imani ya wananchi na hata chama chao kitakapotekeleza uharamia wao wa kuiba kura ionyeshe hata watafiti walishaona hivyo. Sasa watafiti walichukua maoni hata kabla ya wagombea wa vyama hawajaanza kampeni na bado unauita utafiti. Kesho redet nao watawasilisha ngonjera zao ambazo hazitakuwa na tofauti na za hawa twaweza.

Mkuu

With all due respect. Hukuelewa bandiko langu
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Kuna taarifa pia huwa zinamuhusu Lowassa ambazo ni za kweli kabisa, mara nyinyi mashabiki wa Lowassa wakiona hizo

taarifa huwa wanasema si za kweli na mwisho wa siku uishia kutoa matusi na kejeli kwa mtoa mada.

Kama unavyoona, mimi sijakutukana bado. Wala sitakutukana. By the way hata siyo supporter wa mgombea yeyote, though ni mpenda mabadiliko sana!
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,759
2,000
wajuze bwana,kuna baadhi ya wana timu ya kampen ya ccm ni wagombea ubunge bulembo hana jimbo so wataendelea kuungana nae kutegemea mwanatimu yupi aliyepo karibu na eneo la kampeni...kwa bahati mbaya 80% ya wapigakura ht jf,fb nk hawazijui...anzeni kujiandaa kisaikolojia kwani JPM ndo Rais wa awamu ya 5
Bulembo an empty tin ndio kampeni meneja wa magufuli the guy is failing before the end of his reality
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,759
2,000
Ila kumbuka wakati unashabikia hivyo Lowassa na Sumaye walikuwa kwenye hiyo hiyo serikali kwa zaidi ya miaka 30, tena

kwenye positions za juu kabisa.
Baada ya experience za genge la mafisadi na mamafia thays why they have changed the isle, kwa sababu ,hakuna kitakachofanyika kwenye mfumo wa kimafia kizandiki na kijambazi wa ccm they must go
 
Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,469
2,000
Baada ya uchaguzi mkuu tutampa Magufuli nishani ya kushiriki bila kukata tamaa.
Pia kwa vile ndani ya chama chake hana cheo chochote na inavyoonyesha kichama hawamtaki basi ili aendelee kujikimu napendekeza apewe cheo cha Mkurugenzi wa Tanroads kwa masharti yafuatayo
1.Aache kuomba 10℅ toka kwa makandarasi kama alivyokuwa anafanya.
2.Ajiheshimu katika ndoa na kumtunza vena Mwalimu mke wa ndoa aachane na michepuko kwani alikuwa amezidisha sana mpaka Mwl akagoma kumsapoti
 
Bwassa

Member
Jun 16, 2009
76
125

Kuna habari kuwa Kamati ya Wajumbe 32 ya Kampeni ya CCM wamevurugana. Na ndiyo maana "updates" kuhusu Kampeni inavyoendelea zinatolewa na January Makamba, badala ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Ndiyo maana pia kuwa Kinana, haionekani sana na Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Magufuli. Inonekana Mwenyekiti wa CCM, JK, amemuelekeza Makamba afanye hivyo! Baadhi ya Wajumbe wamezila. Wengine wamekemewa kwa kurusha matusi ya nguoni badala ya kujieleza kwa nini Serikali ya CCM imeshindwa hili na lile ili angalau kurejesha imani ya Wapigakura!
 
Josorobert

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
629
195
Uzushi mwingine bana, kama imesambaratika vipi haya mafuriko?

Umati ukiwa umefurika kumsikiliza mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Karangalala,Geita mjini.
Mgombea wa urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Geita mjini kwenye uwanja wa Karangalala ambapo aliwaeleza wakazi wa mji huo kuwa atahakikisha viwanda vinajengwa , wacimbaji wadogo wadogo wanapata maeneo ya kuchimba, ataboresha maslahi ya wafanyakazi , kuhakikisha madawa na huduma za afya zinakuwa bora zaidi na elimu bure kuanzia shule za msingi mpaka kidato cha nne.
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,196
2,000
Wamemuona bulembo ndio anafaa kumnadi magufuli, bulembo alieshindwa kujiingiza mwenyewe kwenye udiwani eti amuingize magufuli ikulu, poor them wamesambaratika kuliko wana wa babeli.
 
Ellyson

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
1,716

Huo umati umewafuata akina Diamond, Yamoto Band na wasanii wengine. Hiyo no shoo ya bure kwa nini usihidhurie?
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,149
2,000
Wamemuona bulembo ndio anafaa kumnadi magufuli, bulembo alieshindwa kujiingiza mwenyewe kwenye udiwani eti amuingize magufuli ikulu, poor them wamesambaratika kuliko wana wa babeli.

Ni Kama Ambavyo Sumaye Yeye Mwenyewe Tu Alishindwa Kutusua Kama Siyo Kutoboa Kwenda IKULU Pamoja Na Kujaribu Kwake Mara Mbili Bila Mafanikio Leo Na Yeye Ndiyo Kampeni Meneja Wa Muhanga Mwenzie Lowassa. Hivi Tangia Lini Maiti Akamsaidia Marehemu KUZINDUKA?
 
Nachingwea

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
262
225
We daktari ni disastorous idiot!

Ni Kama Ambavyo Sumaye Yeye Mwenyewe Tu Alishindwa Kutusua Kama Siyo Kutoboa Kwenda IKULU Pamoja Na Kujaribu Kwake Mara Mbili Bila Mafanikio Leo Na Yeye Ndiyo Kampeni Meneja Wa Muhanga Mwenzie Lowassa. Hivi Tangia Lini Maiti Akamsaidia Marehemu KUZINDUKA?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom