Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar zitakuwepo?

President Elect

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
690
195
Kwa mwendo huu, sherehe za Mapinduzi Zanzibar kweli zitakuwepo mwakani?

Kama tisa Desemba tunafanya usafi nchi nzima, yamkini Januari 12 sherehe za Mapinduzi Zanzibar nako watafanya usafi kama sie huku bara.

Yetu macho, subira yavuta heri.
 
sagai532

JF-Expert Member
Nov 5, 2015
1,149
2,000
Kaka binafsi si msifu magufuli na wasifu ukawa maana magufuli anayafanyia kazi waliyokuwa waki yakosoa ukawa huku ccm wakinuna kwa nn ukawa wanaikosoa ccm.Lakini leo magufuli amefuata ushauri wa ukawa siyo wa ccm wa kupiga dili kila sehem.
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195

Achaneni na politics zilizochanganywa na propaganda. Wanasiasa ni watu wa aina yake! Mtashangaa mkija kuona upande wa pili wa shilingi!
 
sagai532

JF-Expert Member
Nov 5, 2015
1,149
2,000
Wapinzani wetu wapiga deal ccm wamenunaje?Badala ya kuchapisha tshert na kofia leo wanaambiwa kununua mifagio kwa ajili ya kufanya usafi cyo mpaka obama aje.Niwachungulia firishani wanaisoma namba huku ukawa tunatikisa miguu tunasema yes tulisha sena siku nyingi iko siku tutaheshimiana.Wajue magufuli siyo mwana ccm bhana maana hajawahi kuwa kiongozi ndani ya chama na hatakuwa
 
AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,009
2,000
Kaka binafsi si msifu magufuli na wasifu ukawa maana magufuli anayafanyia kazi waliyokuwa waki yakosoa ukawa huku ccm wakinuna kwa nn ukawa wanaikosoa ccm.Lakini leo magufuli amefuata ushauri wa ukawa siyo wa ccm wa kupiga dili kila sehem.
mimi ni ukawa,lakini amini usiamini, nakuambia ukawa wangeingia madarakani wasingefanya haya anayoyafanya magufuli, wasingefanya kabisa, na kama magufuli akiendelea hivi mimi nitachukua kadi ya ccm muda si mrefu kwasababu hiki ndicho watz tulichokuwa tunahitaji, hata tulipokuwa tunahangaika kumpigia kura lowasa tulikuwa na matumaini kuwa angefanya haya anayofanya magufuli lakini ukweli upo palepale, lowasa asingefanya haya, na gas yetu na kodi zetu lowasa angeiba sana kulipiza garama ya kampeni aliyoianza tangu 2010. hela nyingi kapoteza na ni mtu asiyeaminika, hivyo magufuli ndio perfect president kutoka kwa Mungu kabisa, watz tumshukuru Mungu kwa hilo.
 
sagai532

JF-Expert Member
Nov 5, 2015
1,149
2,000
Jamani na waheshimiwa watoka kusafisha barabara na mitaro?? Au watafanyia nyumban

Mkuu habari ya hapa wabunge wa upinzani walisha fanya usafi na vijana wa ukawa tulisha fanya usafi rejea mheshimiwa alilpokuwa musoma na mwanza.Wazee wa push up wanaambiwa wafanye usafi maana uchafu kwao ni desturi
 
sagai532

JF-Expert Member
Nov 5, 2015
1,149
2,000
mimi ni ukawa,lakini amini usiamini, nakuambia ukawa wangeingia madarakani wasingefanya haya anayoyafanya magufuli, wasingefanya kabisa, na kama magufuli akiendelea hivi mimi nitachukua kadi ya ccm muda si mrefu kwasababu hiki ndicho watz tulichokuwa tunahitaji, hata tulipokuwa tunahangaika kumpigia kura lowasa tulikuwa na matumaini kuwa angefanya haya anayofanya magufuli lakini ukweli upo palepale, lowasa asingefanya haya, na gas yetu na kodi zetu lowasa angeiba sana kulipiza garama ya kampeni aliyoianza tangu 2010. hela nyingi kapoteza na ni mtu asiyeaminika, hivyo magufuli ndio perfect president kutoka kwa Mungu kabisa, watz tumshukuru Mungu kwa hilo.

Mkuu usichukue kadi ya ccm maana bado kuna mambo mengi unayahitaji kutoka chama tawala ukiwasapot wanalegalega.Bila ukawa magufuli hasingeyafanya haya
 
bejamin

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
253
225
mimi ni ukawa,lakini amini usiamini, nakuambia ukawa wangeingia madarakani wasingefanya haya anayoyafanya magufuli, wasingefanya kabisa, na kama magufuli akiendelea hivi mimi nitachukua kadi ya ccm muda si mrefu kwasababu hiki ndicho watz tulichokuwa tunahitaji, hata tulipokuwa tunahangaika kumpigia kura lowasa tulikuwa na matumaini kuwa angefanya haya anayofanya magufuli lakini ukweli upo palepale, lowasa asingefanya haya, na gas yetu na kodi zetu lowasa angeiba sana kulipiza garama ya kampeni aliyoianza tangu 2010. hela nyingi kapoteza na ni mtu asiyeaminika, hivyo magufuli ndio perfect president kutoka kwa Mungu kabisa, watz tumshukuru Mungu kwa hilo.

Wewe ni mav ccm na ukawa ni kina nani waliomwaga pesa nyingi ktk uchaguzi tumia akili na ngoja kipindi cha mavuno kianze ndio utaisoma no
Hizo za sherehe za uhuru tu hazijapangiwa matumizi na serikali inayofanya hizi kazi bado ni ya kikwete
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,144
2,000
Ikiwa ya uhuru ambayo ni kubwa kihistoria tumeamua kufanya usafi basi hii ya mapinduzi,tutumie kupanda miti ya mikoko kwenye fukwe zetu!
 
mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
6,980
2,000
mimi ni ukawa,lakini amini usiamini, nakuambia ukawa wangeingia madarakani wasingefanya haya anayoyafanya magufuli, wasingefanya kabisa, na kama magufuli akiendelea hivi mimi nitachukua kadi ya ccm muda si mrefu kwasababu hiki ndicho watz tulichokuwa tunahitaji, hata tulipokuwa tunahangaika kumpigia kura lowasa tulikuwa na matumaini kuwa angefanya haya anayofanya magufuli lakini ukweli upo palepale, lowasa asingefanya haya, na gas yetu na kodi zetu lowasa angeiba sana kulipiza garama ya kampeni aliyoianza tangu 2010. hela nyingi kapoteza na ni mtu asiyeaminika, hivyo magufuli ndio perfect president kutoka kwa Mungu kabisa, watz tumshukuru Mungu kwa hilo.
kama ukawa ni nyumbu basi we nguruwe.unamsifiaje mwanaume mwenzio kama wataka ndoa
 
jmujuni

Member
Nov 9, 2015
21
0
We usilete itikadi zako za vyama, hapa tunaongelea mtu sio vyama, nyie ukawa kweli mna matatizo!! unalinganisha uwezo na akili ya magufuli, na UKAWA Ukawa chari haraka
 
jmujuni

Member
Nov 9, 2015
21
0
Muache Magufuli aitwe Magufuli, nyie ukawa mnajua kupiga kelele na kutoka nje ya bunge!!! ndio maana Magufuli kawaita watoto!!!!!
 
Mandela Jr.

Senior Member
Apr 15, 2014
192
225
mimi ni ukawa,lakini amini usiamini, nakuambia ukawa wangeingia madarakani wasingefanya haya anayoyafanya magufuli, wasingefanya kabisa, na kama magufuli akiendelea hivi mimi nitachukua kadi ya ccm muda si mrefu kwasababu hiki ndicho watz tulichokuwa tunahitaji, hata tulipokuwa tunahangaika kumpigia kura lowasa tulikuwa na matumaini kuwa angefanya haya anayofanya magufuli lakini ukweli upo palepale, lowasa asingefanya haya, na gas yetu na kodi zetu lowasa angeiba sana kulipiza garama ya kampeni aliyoianza tangu 2010. hela nyingi kapoteza na ni mtu asiyeaminika, hivyo magufuli ndio perfect president kutoka kwa Mungu kabisa, watz tumshukuru Mungu kwa hilo.

Mungu??!
 
simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
15,069
2,000
Sisemi kitu nasubiri utatuzi mkwamo wa kisiasa Zanzibar. JPM akifanikiwa kwa hili basi atakuwa amejenga imani kubwa kwa watanzania wote.
 
Akasankara

JF-Expert Member
Feb 28, 2015
3,083
2,000
mimi ni ukawa,lakini amini usiamini, nakuambia ukawa wangeingia madarakani wasingefanya haya anayoyafanya magufuli, wasingefanya kabisa, na kama magufuli akiendelea hivi mimi nitachukua kadi ya ccm muda si mrefu kwasababu hiki ndicho watz tulichokuwa tunahitaji, hata tulipokuwa tunahangaika kumpigia kura lowasa tulikuwa na matumaini kuwa angefanya haya anayofanya magufuli lakini ukweli upo palepale, lowasa asingefanya haya, na gas yetu na kodi zetu lowasa angeiba sana kulipiza garama ya kampeni aliyoianza tangu 2010. hela nyingi kapoteza na ni mtu asiyeaminika, hivyo magufuli ndio perfect president kutoka kwa Mungu kabisa, watz tumshukuru Mungu kwa hilo.

umeongea vizuri lakini ungejaribu kusubiri walau mwaka mmoja ili nayeye apite kwenye changamoto kisha uone!
 
Mwana

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
5,291
2,000
mimi ni ukawa,lakini amini usiamini, nakuambia ukawa wangeingia madarakani wasingefanya haya anayoyafanya magufuli, wasingefanya kabisa, na kama magufuli akiendelea hivi mimi nitachukua kadi ya ccm muda si mrefu kwasababu hiki ndicho watz tulichokuwa tunahitaji, hata tulipokuwa tunahangaika kumpigia kura lowasa tulikuwa na matumaini kuwa angefanya haya anayofanya magufuli lakini ukweli upo palepale, lowasa asingefanya haya, na gas yetu na kodi zetu lowasa angeiba sana kulipiza garama ya kampeni aliyoianza tangu 2010. hela nyingi kapoteza na ni mtu asiyeaminika, hivyo magufuli ndio perfect president kutoka kwa Mungu kabisa, watz tumshukuru Mungu kwa hilo.

Amen Amen!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom