Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
2,712
2,000
Kuna watu humu hata movies hawaangalii za nchi ziliziendela umeona wapi wagonjwa wanalala kwenye doublebdecker?modbufuten huu uzi
 
Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,308
2,000
Wakuu jana nimeona taarifa ambazo ziliniacha na bumbuazi kuhusu kitanda maalum cha kuzalishia watoto eti bei yake ni milioni 2 .5 nimejiuliza ni kitanda cha namna gani cjaelewa. Hebu wenye taarifa zaidi wanijuze maana naona kama wanacheza sarakas kwani badala waongeze majengo wao wanaongeza vitanda kwani kuna jengo ambalo halikuwa na vitanda na kwanini wacweke vitanda vya double deckar ndo kulala chini ingekuwa historia

Wewe ndio mbuni kweli...........nenda leba utajua kwa nini kinauzwa hiyo bei............
 
Sema Sasa

JF-Expert Member
Oct 19, 2012
652
1,000
Kile ni kitanda kwa jina na muundo lakini namna kinavyofanya kazi ni kama kamtambo fulani hivi.
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Shida ni kwamba sheria za manunuzi zilivunjwa.Na huo uharaka haukuwepo kihivyo.

Aha supply ya LPO kwani muhimbili walikuwa na Make/Model ya hivyo vitanda?Usanini unachosha na kuumbua.Km alivyoiba show kwa TB Joshua halfu akaachwa siku ya kuapishwa?

Hao wabunge walichangaisha cash au kwa cheque na mpesa?What a ajoke?wote walikuwa bank moja na msd hadi cheque ziweze mature?hizo cash walideposit lini?Au magufuli anataka tuambia kwamba walishafanya sanaa mapema.

Km msd walishakuwa nayo ktk stock kwanini tena walisubiri kulipwa hela na serikali wakati nao ni mradi wa serikali?Ina maana taasisi ya serikali inaweza igomea serikali kupeleka vitanda kwa wananchi walipa kodi?Nani anaimiliki MSD km si wananchi?What a bunch of conflicts.

Wapendwa nadhani ni vizuri tukakumbuka kuwa sheria ya manunuzi inakuwa na makali kwa fedha za umma. Ile ilikuwa michango binafsi.

Kama kuna usanii mwingine, mimi sijui. Lakini tukutaka kusema kuna sheria zilikiukwa hapo hutuna pa kushikia. Pesa binafsi zinaweza kutumika kwa mipango yoyote unless michango hiyo ilikuwa rasmi na iliwekwa kwenye account ya serikali au asasi ya kiserikali!
 
Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,220
1,225
Wakuu jana nimeona taarifa ambazo ziliniacha na bumbuazi kuhusu kitanda maalum cha kuzalishia watoto eti bei yake ni milioni 2 .5 nimejiuliza ni kitanda cha namna gani cjaelewa. Hebu wenye taarifa zaidi wanijuze maana naona kama wanacheza sarakas kwani badala waongeze majengo wao wanaongeza vitanda kwani kuna jengo ambalo halikuwa na vitanda na kwanini wacweke vitanda vya double deckar ndo kulala chini ingekuwa historia
Naamini hujui mengi katika afya, uliza kwa jirani kwanza. Hata kuandika Muhimbili kumekutatiza.
 
kabyemela95

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
602
250
Kama kuna cha laki tatu tena cha kawaida unashangaa kitanda cha m2.5,,we blaza inaonekana mji hauujui ,,au we bado 'chande' mwenzetu
 
kuku87

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
1,221
1,500
Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili.

Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta QUOTATIONS tatu saa ngapi na bodi yao ya manunuzi walikaa kikao saa ngapi ili kupitisha quotation moja ambayo itatumika ktk manunuzi hayo?

Je huyo supplier wa hizo vitanda alikuwa na stock kubwa kiasi hicho ambapo Muhimbili walipofika wakapewa chapuchapu?na ninavyojua manunuzi yanayozidi 10M huwezi kufanya kwa CHEQUE ni lazima ufanye kwa TISS sasa na mizunguko yote hiyo na jana ilikuwa ni siku yamapumziko je procedures zote za manunuzi ya UMMA zilifuatwa vipi jamani mbona wanaanza kutudanganya mapema hivyo?

Mimi ninavyooamini ni kwamba hivyo vitanda vitakuwa vilikuwa vimenunuliwa tayari kwa kipindi cha JK na jana ndo viliwasili wametaka kucheza na akili zetu ili tumpatie sifa rais lakini mimi najua hili haliwezekani kwa siku moja na HAIWEZEKANI KABISA tusidanganywe mchana kweupe. Namtakia rais ufanisi mwema na awe msema kweli kwani atakuwa mpenzi wa Mungu kama anavyosemaga aachane na mfumo wa ccm wa uongo uongo.
Endelea kuamini hvyo hvyo, JK anunue vitanda halafu hela ya kwendea USA ataitolea wap au hela ya kuandaa bata za mjengoni
 
shayookoko

JF-Expert Member
Jan 2, 2014
466
500
Mngemwelewesha tu, ila ushauri wake wa doubledecker ndio umeniacha hoi, bila shaka hajui maana ya kulazwa hiyo.
 
malifedha75

Member
Oct 27, 2015
13
0
Mtoa hoja anaonekana amekuja kishabiki wala sio kutakakuelimishwa, kwn kupinga au kukosoa kila kitakachofanywa na Serikali ndio mtaonekana ni Wapinzani na mkiendea na falsafa hiyo ndivyo heshima yenu itakavyotoweka, MSILAZIMISHE UKWELI KUWA UONGO SIKU ZOTE UKWELI UTABAKIA
 
Masati

Member
Jan 25, 2014
30
0
Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili.

Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta QUOTATIONS tatu saa ngapi na bodi yao ya manunuzi walikaa kikao saa ngapi ili kupitisha quotation moja ambayo itatumika ktk manunuzi hayo?

Je huyo supplier wa hizo vitanda alikuwa na stock kubwa kiasi hicho ambapo Muhimbili walipofika wakapewa chapuchapu?na ninavyojua manunuzi yanayozidi 10M huwezi kufanya kwa CHEQUE ni lazima ufanye kwa TISS sasa na mizunguko yote hiyo na jana ilikuwa ni siku yamapumziko je procedures zote za manunuzi ya UMMA zilifuatwa vipi jamani mbona wanaanza kutudanganya mapema hivyo?

Mimi ninavyooamini ni kwamba hivyo vitanda vitakuwa vilikuwa vimenunuliwa tayari kwa kipindi cha JK na jana ndo viliwasili wametaka kucheza na akili zetu ili tumpatie sifa rais lakini mimi najua hili haliwezekani kwa siku moja na HAIWEZEKANI KABISA tusidanganywe mchana kweupe. Namtakia rais ufanisi mwema na awe msema kweli kwani atakuwa mpenzi wa Mungu kama anavyosemaga aachane na mfumo wa ccm wa uongo uongo.

nakupongeza makombeni10 ila hebu nisaidie wamevinunua wp kwa haraka namna hiyo na je mm najiuliza je kuna wodi ilikuwa haina vitanda? Maana mm najua wagonjwa wanalala kwenye zile sehem za kupitia na sio mahal ambapo kitanda hamna
 
bhageshi

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
264
195
Usiwe mtoto kihivyo.Unajua Magufuli aliingia saa ngapi ktk hiyo tafrija,na muda gani alitangaza hivyo?Hiyo saa hakuna mtu kwa office labda awe kaarifiwa mapema.[/QUOT

ndioWeweto mbmtmbururam,mbumbu na lofa, , fuatilia taarifa hiyo hata humu jamvini ilikuwemo kabla hata tafrija hiyo ya wabunge, hata kwa groups ilizunguuka kabla hata ya hiyo cocktail
 
Himawari

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
2,582
2,000
Makombeni10.., kuna namna tofauti za kufanya manunuzi..., jielimishe kwanza kuliko kuishia kudhania na kuhisi. ...
 
Last edited by a moderator:

Clemence Baraka

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
1,597
1,500
Thats why tunakuawa na head kwenye uongozi

The Presidents say is considered the best

Vitanda kwanza procedure baadae ole wako wewe uliye na vitanda halafu hutaki kukabidhi serikali

Kwani serikali inahama leta vitanda fuatilia pesa kesho hutaki tunasema uneviingiza nchini kimagendo

Hahahaa Magufuli Big up baba

Hata hivyo leo asubuhi kwenye clouds fm mkurugenzi wa msd alieleza kwa kirefu kwa nini rais aliagiza jmosi na ijumaa muhimbili ikapokea vitanda. Ukitaka kufahamu zaidi watafute clouds fm wakujuze.
 
swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,089
2,000
Hapo ndo pesa zitaliwa maana hazina quatations wala auditing.

Angeunda kamati maalumu ya manunuzi ifanye hiyo kazi chini ya ufuatiliaji maalumu lakn kuagiza tu halafu hakuna anaejua sh.ngapi imetumika huenda atakwama.
 
G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,644
2,000
Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili.

Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta QUOTATIONS tatu saa ngapi na bodi yao ya manunuzi walikaa kikao saa ngapi ili kupitisha quotation moja ambayo itatumika ktk manunuzi hayo?

Je huyo supplier wa hizo vitanda alikuwa na stock kubwa kiasi hicho ambapo Muhimbili walipofika wakapewa chapuchapu?na ninavyojua manunuzi yanayozidi 10M huwezi kufanya kwa CHEQUE ni lazima ufanye kwa TISS sasa na mizunguko yote hiyo na jana ilikuwa ni siku yamapumziko je procedures zote za manunuzi ya UMMA zilifuatwa vipi jamani mbona wanaanza kutudanganya mapema hivyo?

Mimi ninavyooamini ni kwamba hivyo vitanda vitakuwa vilikuwa vimenunuliwa tayari kwa kipindi cha JK na jana ndo viliwasili wametaka kucheza na akili zetu ili tumpatie sifa rais lakini mimi najua hili haliwezekani kwa siku moja na HAIWEZEKANI KABISA tusidanganywe mchana kweupe. Namtakia rais ufanisi mwema na awe msema kweli kwani atakuwa mpenzi wa Mungu kama anavyosemaga aachane na mfumo wa ccm wa uongo uongo.

Bado hujajua mamlaka ya Rais ktk nchi labda,watu wanaweza kukesha wakifanya kazi usiku na mchana na kila kitu kikaenda sawa,haijalishi ni ofisi gani
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom