Timu ya kampeni ya Dr. Magufuli yasambaratika

JFK wabongo

JF-Expert Member
Aug 11, 2015
3,891
2,000
Eti wanapiga push up majukwaani hata kule kwetu upareni nyani huwa wanazipiga.

Yule mwingine akijaribu, si yeye tu atabadilisha suruari bali team nzima ya kampeni lazima watabadilisha mavazi maana atawachafua.
 

Indume Yene

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
2,927
1,225
Kumbuka team INA watu 30!
Magufuli mwenyewe anauzito kuliko hata ccm kama chama! Kumbuka JPM ni jeshi la mtu mmoja!

Na hata ukiiombea mabaya team Magufuli unajichosha tu! Kumbuka....
Tembo hata akikonda vipi hawi kama mbuzi!

Ni hatari sana mtu kuwa maarufu na nguvu zaidi ya chama. Sina hakika ume-type ukiwa na mihemko au ndiyo ukweli wenyewe. Ila sishangai as kwenye kampeni, JPM anajinadi yeye mwenyewe badala ya chama, hata mabango yake say all.
 

MAFUNGUO KUFULI

Senior Member
Jul 28, 2015
138
195
AHA! NI ZILE LAANA ZA SIKU YA KUZINDUA KAMPENI ZA UKAWA ZILIZOTEMWA NA SHEHE PAMOJA NA ASKOFU,
SASA MNARA WA BABELI WAJENZI WAMEANZA KUSAMBARATIKA,
UKAWA HOYEEE,
LOWASSA HOYEEEE,
EDUWARD N.LOWASSA NI RAIS ANAYENGOJA TU KUAPISHWA.
MUNGU UBARIKI UKAWA,
MUNGU MBARIKI E.N.LOWASSA,BABU DUNI,NA MAALIM SEIF,
WABARIKI WAGOMBEA WOTE WA UKAWA,KATIKA JINA LA YESU KRISTO.AMEN.

Nimeambiwa kuwa ile ya kampeni ya CCM iliyoundwa kwa kumsaidia Dr. Magufuli na Mama Samia imesambaratika jana usiku baada ya kikao cha kimkakati. Nimearifiwa na mmoja wa wajumbe wa timu hiyo kuwa kusambaratika kwa timu hiyo kunatokana na sababu mbalimbali. Wapo wajumbe waliosusa baada ya kuona wananchi hawaelewi somo la CCM na kuielewa Ilani. Wananchi wamekuwa hawaelewi wanachoambiwa na sasa
 

Ellyson

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
1,716
1,500
Hilo li chama na life tu. Limetuibia sana wavuja jasho. Life yena life kibudu
 

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Mtoa mada una bahati sana kwamba habari yako itakuwa ni ya kuwafurahisha wengi hapa jamvini hasa wale wanaopenda

kutukana. Kwa mfano ungeandika Lowassa njiapanda timu ya kampeni imesambaratika ungetukanwa ungeitwa mnafiki,

Magamba, msaliti, Yuda yaani kila jina. Ila angalau ubunifu wako mzuri hapa utapewa hongera na kuonekana mpenda

mabadiliko.


Wala siyo ubunifu, ni taarifa zilizothibitishwa toka ndani ya "kamati" Na ni kweli kamati imebomoka jana usiku. Na ajabu kuna ya ghafla imeundwa ikiongozwa na naibu waziri fulani Kijana kuliko wengine.
 

twahil

JF-Expert Member
May 31, 2011
4,067
2,000
Magufuli ni jeshi la mtu mmoja....akisimama jukwaani anajinadi masaa mawili...sasa hio timu ya kampeni ya nini....amekuwa bubu wa ukiwa ambaye wenzake wanamuongelea....l.o.fa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom