Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.

musami

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
1,431
1,500
UBUNIFU WA UKAWA ZERO
Leo baada ya mgombea wa CCM Dr Magufuli kupiga pushapu huko mkoani Kagera,basi jamaa wa ukawa wooote wamepaniki hata kulala wanashindwa,kutwa leo wanatumia muda wao kupost vitu visivyo na maana kwa lengo la kum-dis MAGUFULI NA CCM,jaman huyu ndo alivyo,ni kiongozi mchapakazi,ukipaniki ya kupiga pushapu,sasa je ya kuendesha greda?au kupanda juu ya paa kukagua ujenzi si mtakufa jaman:Mi nafikiri mumshauri mgombea wenu nae awe mbunifu japo kesho nae atoe yake,labda apige msamba hivi au aruke kichurachura!Acheni jazba,laleni!pushap wala sio ishu,ni mazoezi tu ya afya!

Ahahahaaa duh yaani unataka mzee wa watu apige msamba!!una utani mbaya sana
 

Kifaurongo

JF-Expert Member
Jan 18, 2010
3,948
2,000
Ni wakati wa kuhoji maneno na vitendo vya wagombea kwa kina. Vinginevyo hawa watatuona mazuzu, wapumbavu na malofu. Mgombea anapiga puch up kuonyesha watu kuwa ana afya njema, lini puch up imegeuka kuwa kipimo cha maabara. Kama wagombea wanajinasibu kwa afya zao si wakapime damu full blood picture inaoyoonyesha kila kitu. Halafu atuonyesha hadharani vipimo hivyo. Tena matokeo na upimaji ufanywe na independent people- yaani wasiofungamana na upande wowote na mhusika aridhie matokeo ya vipimo vya damu yaonyeshwe kwa wananchi. Bila kipimo cha damu hawa wanasiasa waache kutudanganyadanganya.

Nimegundua njama zako, unataka kudharirisha watu. Wakapimee!!! Kapime afya yako mwenyewe

Rais wangu.JPG
 

bato

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
3,544
2,000
Kama ni push-up,Francis Cheka tatufaa kuwa rais. Hivi akiteleza kwenye jukwaa itakuwaje. Huyu Magufuli hajui afanye nini na wakati gani. Masifa tu yamemjaa,atatutia hasara huko mbeleni.
 

Reuters

JF-Expert Member
Aug 18, 2015
375
0
Ahahaha yaaani nawaona malofa katika ubora wao wamewatuma vijana wakate kadi za ccm kisha wanajifanya kuzirudisha eti ionekane ccm wamerudisha kadi ukawa Ahahaha buyu kabisa
 

Abtali mwerevu

JF-Expert Member
May 5, 2013
576
250
Obama hakuwa na washauri wazuri? Maana hata yeye aliwahi kupiga push-up!!!
hatutaki kuona Lowassa akipiga push up tunataka kuona akipanda jukwaani bila kusukumwa!!!
 

SaaMbovu

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
5,420
2,000
Umechukia Magufuli kupiga push ups kwasababu unajua El hawezi, linakukera kwasababu hata mfanyeje El hawezi hata kujaribu,,,
So mnabaki mnapiga jungu tu hapa.

Pushup ni nini? Rejea statment yangu ya mwisho. Fisiccm ni ugonjwa
 

Attachments

  • 1443028108877.jpg
    File size
    25.4 KB
    Views
    166

jbmukulu

Member
Jun 8, 2015
99
125
Anikumbusha harusi moja hivi,
MC alisema bwana na bibi harusi washindane nani atawahi kufika kwene buffee la msosi, basi bwana harusi akatoka nduki kama Usain Bolt wa marekani, watu ukumbi mzima wakafumba macho kwa aibu
 

Mr Chin

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,635
0
..Magufuli na uungwana tena!?

..angekuwa muungwana asingeruhusu MATUSI ktk kampeni zake.

..wananchi wakimpa asilimia 70 za Twaweza maana yake wameridhika na RUSHWA, UFISADI, UMASIKINI, MATUSI, na VIJEMBE.

..why do u believe chama kinachoendesha kampeni za kihuni-huni na kibabaishaji kikishinda uchaguzi kitatawala vizuri?

..Magufuli anaweza kufanya vizuri kama atapata ushindi mwembamba, na wapinzani watapata viti vingi bungeni. Kinyume na hivyo wa-Tanzania tuandike maumivu. Huyu bwana ana rekodi ya ufisadi, kiburi, na ubabe.
11698853_871256412911101_660467590346958388_n.png
 

Lorah

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
1,193
0
UBUNIFU WA UKAWA ZERO
Leo baada ya mgombea wa CCM Dr Magufuli kupiga pushapu huko mkoani Kagera,basi jamaa wa ukawa wooote wamepaniki hata kulala wanashindwa,kutwa leo wanatumia muda wao kupost vitu visivyo na maana kwa lengo la kum-dis MAGUFULI NA CCM,jaman huyu ndo alivyo,ni kiongozi mchapakazi,ukipaniki ya kupiga pushapu,sasa je ya kuendesha greda?au kupanda juu ya paa kukagua ujenzi si mtakufa jaman:Mi nafikiri mumshauri mgombea wenu nae awe mbunifu japo kesho nae atoe yake,labda apige msamba hivi au aruke kichurachura!Acheni jazba,laleni!pushap wala sio ishu,ni mazoezi tu ya afya!

Kweli nyie ccm wajinga wajinga hebu muulize huyo mgombea waki..m4c na mabadiliko alizitoa wapi...jinga kabisàaaaa
 

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Ni wazi kuwa hawa watu wameshaona hata wakinadi sera na ilani yao bado watu hawawaelewi. Kwa hiyo kilichobaki ni kufanya ukatuni na comedy mpaka uchaguzi ufike, waibe kura, wakishindwa wasababishe fujo ili nchi itawaliwe kijeshi.

Vinginevyo nadhani ingekuwa poa sana kama hawa wangepiga na push ups za kichwani. Sidhani kama tunahitaji mabouncers ikulu, but it's obvious tunahitaji critical thinkers! Sasa what does it help kwa nchi, wanachama wanaomsindikiza na wengine wanaolinda shibe zao, kwa mgombea kupiga push up tatu kuthibitisha ufit wakati kichwani vijana wa Libya walimuua Saddam-Rais wa Kuwait? Nadhani katika kichwa hicho hicho raia wa Kuwait ni wavumilivu sana. Vinginevyo haiwezekani kabisa vijana wa Libya washawishiwe, mpaka wamwue Rais Saddam wa Kuwait halafu raia wa Kuwait wako kimya tu! (sijasikia vita ya Kuwait na Libya bado). Halafu wewe unapiga push up?
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom