CCM nendeni mkafanye mdahalo wenu feki

Petro E. Mselewa

Verified Member
Dec 27, 2012
9,555
2,000
UKAWA hawaonyeshi utayari hata kidogo kushiriki kwenye Mdahalo unaoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Nyinyi CCM mmeshafanya kikao kirefu na waandaaji kupanga mdahalo utakavyokuwa. Yawezekana mmeshapewa hata maswali na majibu.

Kwa kufanya kikao hicho na waandaaji wa mdahalo,mmevujishiwa mtihani na hivyo mdahalo husika ni feki na hauaminiki. UKAWA wasithubutu kushiriki kwakuwa kuna mambo yameshapangwa. Kama miaka yote CCM hawakutaka midahalo,iweje waitake kwa udi na uvumba mwaka huu? CCM nendeni mkamalizie maigizo yenu.
 
jd41

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
3,758
2,000
...magamba wameshamwaga mapesa kila mahali;kuanzia wasanii wanaowakimbilia,viazi wanao post utumbo huku kila dkk wamewekwa kinyumba upanga, na hao kunguru wa kwenye mdahalo wote hawana maana..
 
rama mjusi

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
352
0
Kataa neno usikatae wito au uwaka wanahofia yule mgombea wao mgojwagonjwa anahutubiaga dk6 tena mdahalo napendekeza masaa3 tena ya kusimama
 
Wo shi niubi

JF-Expert Member
Aug 14, 2015
959
1,000
ccm bwana imetosha kutuibia, bora waondoke, hatuwezi kuwapa muda zaidi ya kuendelea kujaribu, maana ccm sioni kitu chochote ambacho hufanya kwa uhakika.
 
mycall

JF-Expert Member
Dec 17, 2014
848
500
Wala sisi wapiga kura hatuhitaji hiyo midahalo sababu wagombea tunawasikiliza live kwenye mikutano ya kampeni.
 
maramia

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
1,965
2,000
UKAWA hawaonyeshi utayari hata kidogo kushiriki kwenye Mdahalo unaoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT). Nyinyi CCM mmeshafanya kikao kirefu na waandaaji kupanga mdahalo utakavyokuwa. Yawezekana mmeshapewa hata maswali na majibu.

Kwa kufanya kikao hicho na waandaaji wa mdahalo,mmevujishiwa mtihani na hivyo mdahalo husika ni feki na hauaminiki. UKAWA wasithubutu kushiriki kwakuwa kuna mambo yameshapangwa. Kama miaka yote CCM hawakutaka midahalo,iweje waitake kwa udi na uvumba mwaka huu? CCM nendeni mkamalizie maigizo yenu.

Wamevujishiwa kila kitu hata tizi analotia Magufuli ni baada ya kudokezewa kiwango cha kipimo cha BP anachotakiwa awe nacho ili asije kuathiriwa na kemikali zilizotegwa kwenye vipaza sauti.
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Kataa neno usikatae wito au uwaka wanahofia yule mgombea wao mgojwagonjwa anahutubiaga dk6 tena mdahalo napendekeza masaa3 tena ya kusimama

Mwacheni mgonjwa wa watu aendelee na ratiba zake. Kimsingi kama afya yake haimruhusu kusimama masaa 3, hana haja ya kusimama masaa yote hayo. Cha msingi yeye afanye anayoweza kwa kadri ya afya yake kwa sasa.

Ugonjwa siyo aibu kama wengi mnavyotaka ionekane. Nadhani it's heroic kwamba mtu unaumwa lakini bado unajitahidi kufanya jambo, ambapo kuna wanaojidai wazima na bado wanachemka! Na kama tunadhani ugonjwa ndiyo sababu ya kuwashawishi watu wasimchague mtu, napenda wapuuzi wote wa aina hiyo watambue kuwa huo ni unyanyapaa wa kipjinga, ni ushamba na ni tabia isiyo ya kiungwana wala kistaarabu.

Napenda ikumbukwe kuwa Mwai Kibaki wa Kenya wakati anaingia ikulu alikuwa mgonjwa. Na alitangaza wazi kuwa anaumwa, hivyo safari za ulaya haziwezi na kama kuna mtu ana shida naye amfuate Kenya. Wote ambao mna akili mtakuwa mmeona ni maendeleo kiasi gani Mwai alileta Kenya ukilinganisha na waliomtangulia!

So folks njooni na hoja zenye akili. Sometimes tunachoka na pumba everywhere. Kwenye majukwaa mara Vijana wa Libya walimuua Saddam, ooh Saddan ni rais wa Kuwait! kwenye makongamano, Tanzania ni muungano wa visiwa vya Zimbabwe na Pemba, huku nako ninyi! Boring!
 
indelible

JF-Expert Member
May 2, 2015
652
250
Propaganda kamwe kwenye siasa za waafrika hazita kaa ziishe, mtu unazuka na assumption zako na kuwaaminisha watu "wamekaa na waandaaji" kazi kweli kweli.
 
rama mjusi

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
352
0
Usitutolee mfano wa kenya huo ndio ulofa wenyewe wa kuiga kila kitu kwanini nichague mugonjwa wakati mzima yupo na huyo kibaki unayempigia mfano kaifanyia nini cha maana hiyo kenya ya kuwachokoza alishabab
 
TOWNSEND

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,601
1,225
Wamevujishiwa kila kitu hata tizi analotia Magufuli ni baada ya kudokezewa kiwango cha kipimo cha BP anachotakiwa awe nacho ili asije kuathiriwa na kemikali zilizotegwa kwenye vipaza sauti.

Nakubaliana na hoja yako
mhh geita wananchi waliomba apige push up aaaa akagoma wakapiga wasanii mwana fa na yamoto band na tmk
 
mkezwag

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
3,245
1,500
Usitutolee mfano wa kenya huo ndio ulofa wenyewe wa kuiga kila kitu kwanini nichague mugonjwa wakati mzima yupo na huyo kibaki unayempigia mfano kaifanyia nini cha maana hiyo kenya ya kuwachokoza alishabab
Mkuu mtu anaweza akaonekana mzima physically lakini akawa amedumaa akili.mfano wewe ni mzima wa mwili ila post yako hii inaonesha unaudumavu wa ubongo.
Pia magufuli kusema atajenga kiwanda cha kahawa pale Bukoba mahali ambapo uzalishaji wake bado ni mdogo sana ni dalili nyingine ya udumavu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom