TBC na magazeti ya Serikali vishitakiwe

bokenyewaito

Member
Aug 11, 2015
17
0
[Vyombo hivyo vishitakiwe kwa nani? maana yake wale waliovitumia vibaya wakati wote wa kampeni na uchaguzi -Unilaterally ' ndo hao hao unawapelekea kesi utaweza! Tumepatikana!
 

Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
Unapotumia chombo chochote ambacho unajua fika kwamba kinaifikia jamii kwa kiwango kikubwa hata kama ni mali yako binafsi,
Na ukaweka habari ambazo sio balanced basi unakuwa hujatenda haki.... Na utambuwe tunanunua hayo magazeti hatupewi bure hivyo una haki ya kushitakiwa na sheria kuchukua mkondo wake

Chombo binafsi kina uhuru wa kutangaza habari ambazo kinaona zinafaa. No limitations no rules. Mradi ni za kweli!

Chombo cha Umma, kinachoendeshwa kwa kodi kodi za wananchi wote, bila kujali vyama au dini, rangi au kabila, ni MAKOSA kuamua kutoa taarifa za upendeleo kwa tofauti za itikadi ya kisiasa. Nadhani hili hata halihitaji uelewa mkubwa wa sheria.
 

analaizi

JF-Expert Member
Mar 8, 2014
1,351
1,195
Kufuatia kuegemea kwenye chama kimoja kati ya vyama 23 vya siasa vyombo hivyo ambavyo vinaendeshwa kwa kutumia kodi za watanzania woote bila kujali itikadi ya chama vimeonyesha upendeleo mkubwa sana. Hivyo ni vizuri na haki wakishitakiwa kwa kuhujumu kodi za watanzania
Vyombo vya habari makini na ambavyo havishabikii hoja za upotoshaji na vurugu ni tbc na star tv.viko vingine vinarusha mazungumzo ya simu na washabiki wao wawili watatu halafu hao ndio mawazo ya watanzania.
 

Doto Dotto

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
3,035
2,000
Kufuatia kuegemea kwenye chama kimoja kati ya vyama 23 vya siasa vyombo hivyo ambavyo vinaendeshwa kwa kutumia kodi za watanzania woote bila kujali itikadi ya chama vimeonyesha upendeleo mkubwa sana. Hivyo ni vizuri na haki wakishitakiwa kwa kuhujumu kodi za watanzania

Kushitakiwa ITV iwe namba moja kwa hili kosa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom