Magufuli, kupiga push ups ni busara? IQ vipi? Ipo?

Status
Not open for further replies.

ikisimama panda

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,126
2,000
ukiangalia ni alikuwa kwenye mazingira gani mpaka apige push up utagundua huyu hana maamuzi mazuri ya haraka. kama aliwahi kuwa kiongozi atakuwa pia kayafanya hayo maamuzi.

bila shaka mwakumbuka alipotaka kubomoa TANESCO ubungo. kwa uchumi wa Tanzania ingekuwa ni hasara kubwa.

Tusisahau na wale samaki

hata hawa wanaopewa kandarasi za barabara ni kukurupuka sana.

kwa sasa magufuli hana mshauri. chote anachosema na kutamuka ni kutoka kwenye akili yake tu.

Mwalimu wangu aliniambia busara ya mtu utaipima kwenye maamuzi ya haraka haraka kama anapokuwa na hasira.

PIMA ILI UCHINJE OCTOBER.
mimi mwamua pema ni LOWASA

kwahiyo mkuu kwa akili yako unaona ni kipi muhimu kati ya SHERIA iliyoanzishwa kulinda hifadhi za barabara zisiingiliwe na shughuli nyingine za kibinadam na hilo JENGO la tanesco?? siku nyingine ujaribu sana kuangalia mbali kabla hujaropoka
 
ikisimama panda

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
2,126
2,000
fuatilia mambo usikurupike kama huyo comedian.

Malawi nani aliye organize jeshi hadi wakapeleka makomando na ndege na jamba jamba kwa Joyce?

ua unadhani nyerere alishika bunduki kagera?

Nani alikuwa mzee na afya dhaifu Fidelis kastro au Bushi? lkn heshima vipi.

mtu kudananishwa na kifaa kilichoundwa na binadamu huwa ni fedheha. Utasikia jembe, Tingatinga, Tv, vuvuzera, mwenge. Ukivishwa uhusika wa vitu maana ake hauna maamuzi mazuri ndio maana lazima wakuendeshe kama roboti.

that was then bwana!
 
kawakama

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,300
1,500
Lowassa, kujinyea jukwaani ni busara? IQ vipi? ipo

Ni wakati muhimu katika historian ya mgombea yeye kama ye ye hata akishindwa au akishinda bado anawajibika kuwa mpole na mkweli jukwaani, wanapaswa kuwa mnyenyekevu kwa wapiga kura, wanapaswa kuwa msikivu kwa kuomba aulizwe vijimaswali akate kiu ya wenye kiu ya kupata mtu muadilifu mkali lakn mpole kwao.

Marais wanaowania wanakuwa makinibwanapoongea hotuba zao. zile za Obama bado zinatumika hasa kipindi hki cha smartphone, video clip zitasambaa. ukiwa Rais msanii hujatulia, unakurupuka humpati mtu. watakaokuelewa hakika ni wachaçhe wengi wanakuona mwehu, au mwendawazimu.

Ukiwa rais unabeba heshima zote
 
Nginana

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
839
1,000
Kuna mambo mawili makubwa yanayomsumbua Magufuli: kutokujua hasa kazi za rais ni zipi; na kutokuwa na ufahamu wa historia ya dunia na masuala ya kimataifa kwa kiwango ambacho mgombea urais anatakiwa kuwa nacho. Mapungufu haya ndio yanayopelekea afanye kituko kama hiki. Kama moja ya picha zake za kampeni zinavyomuonyesha akifanya kazi ya 'foreman' wa ujenzi wa barabara huenda anafikiria ndio kazi anayopaswa kufanya kama rais! Kazi kubwa ya rais ni kuweka dira ya taifa na kuisimamia pamoja na kusimamia tunu za taifa. Kama Magufuli angekuwa na ufahamu kidogo tu wa historia ya viongozi shupavu duniani wa karne 20, angetambua kuwa 'mitulinga' sio sifa au kigezo cha kiongozi bora. Mfano, Franklin Roosevelt, (32nd US president) ndiye aliyekuwa rais 'jembe' na aliyetawala kwa mafanikio makubwa kuliko rais yeyote katika historia ya nchi hiyo. Pia sote tunamkumbuka Pope John Paul II na umahiri wake wa kiuongozi. Unajua hawa viongozi wawili walikuwa na kitu gani kinachofanana? Wote walikuwa wanatumia wheelchair!
 
georgemwaipungu

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
2,780
1,500
kwamba miaka 53 hakuna chochote kilichofanyika!! kweli kabisa mkuu hakuna kilichofanyika???

Ni ukweli mtupu hakuna mlichofanya ikiwa unatoka Mbezi Beach mpaka posta kwa Masaa matatu kazi za uzalishaji utazifanya saa ngapi.
Je? hatanu uwezo wa kuboresha jiji letu?
Je hatuwezi kujenga barabara mbadala?
Je? hatuwezi kujenga barabara za Juu? Mfumo wa barabara tunoutumia sasa hivi ni wa mwaka 70 wa Julius Nyerere.
Viwanda tumeviuwa vyote hata vilivyokuwa vinaleta faida.
 
Elly B

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,194
1,195
hivi wakati mamvi anaenda tandale alikua anafanya nini?? kama sio maigizo??

Kwenda Tandale? Sijawahi kuona kama ni kitu cha ajabu sana. Simuongelei EL tu hapa, Katiba ya JMT inatoa haki ya association with condition: mradi havunji sheria! So kama yeye au yeyote ameamua kukutana na mtu au watu bila kuvunja sheria sioni kama 1. Ni maigizo-coz ni haki yake kikatiba
2. Ni tatizo- coz hajavunja sheria!

Lakini kuacha kuhubiri ilani ya chama, na kusahau sera za kutangaza au kwenda mbele na kuanza speech za kutishia watu na amani itakavyovunjika wakati chama chako ndiyo chanzo cha uvunjifu huo.......that is questionable. Sasa kushindwa kuona namna ya kuwa na busara ya kuaddress hayo na kuishia kupiga push ups? :dizzy:!

We unaonaje hapo?
 
georgemwaipungu

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
2,780
1,500
Co bure umevurugwa was washauli wa ukawa kama akina gwajima wanaoacha misingi ya dini,,,na kina sumaye walioka madarakani miaka 10 aibu chama hskina washauri poor ukawa

Kazi ya Mungu ni Kuficha ukweli? acheni unafiki nyinyi Gwajima kafanya kazi ya Mungu iliyotukuka.
Maana ccm walitaka kutudanganya yote yako wazi.
Mwakyembe alichopeleka Serena tunajua.
Walimpeleka South Africa kuficha nini tunajua sasa kazi miungu wako za kinafiki sisi hatuzitaki.
 
Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
13,189
2,000
Ajira wapi twambieni au kula Unga ndiyo kazi yenyewe
Halafu mwongo mwingine anapayuka kuwa atajenga viwanda. Anafikiri kujenga kiwanda ni sawa na kujenga nyumba ya kawaida. Nyerere alijenga viwanda wakaviuza vyote sasa watapata wapi pesa za kujenga. Eti ambao watakuwa hawajaendeleza viwanda watanyang'anywa! Hii ni ajabu, mtu akinunua mali ana haki ya kuitumia atakavyo hata kama wameamua kufugia kuku muuzaji hana haki tena ya kile alichokiuza. Je na aliyenunua kiwanda ana haki za kunyang'anya pesa alizompa muuzaji kama anazifuja? Acheni uongo mchana kweupe! Endeleeni kupiga push ups kwani hizo ndizo sera zilizobaki!
 
navy boi

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
1,495
1,500
Hivi kuwa ccm ni akili?
ikiwa ni zaidi ya miaka 53 leo na hamna mnachojisifia kuwa mumefanya kuna haja ya kuendelea kushabikia ccm?

Ona usivyokuwa na akili

LOWASSA amesema haya Bungeni, VIDEO nitaileta baadaye!

"Akija mtu Jeuri na fedhuli akakuuliza, tanzania mna nini, mjibu kwa uungwana, TUNA AMANI." - Mwl. J. K. Nyerere.

Tanzania ina amani, watanzania wanajua na dunia inajua

* Katika KUIKOMBOA Tanzania tumeshiriki kuikomboa AFRIKA, watanzania wanajua na dunia inajua
* Kwa amani hii tumejenga reli ya TAZARA, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga shule, asilimia 95 wanaenda shule, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumjenga shule kwa kila kata, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumevuta maji kutoka Lake Victoria mpaka Shinyanga, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga LAMI sehemu kubwa ya taifa letu, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga chuo kikubwa sub-saharan africa, UDOM, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tuna uchumi unaokuwa kwa asilimia 7% KUliko nchi nyingi Duniani, watanzania wanajua na dunia inajua

HUU NI USHINDI MKUBWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI!

KINARA NA WAHASISI WA MAENDELEO HAYO NI CHAMA CHA MAPINDUZI

UNAWEZAJE KUDHOOFISHA LEO HISTORIA HII 

UNAWEZAJE KUONDOKA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM kwenye historia kubwa namna hii?

Tusiogope ni Historia Nzuri SANA.

Kama viongozi wetu waliopita walivyothubutu na SISI TUTHUBUTU ndio heshima ya CCM.
 
georgemwaipungu

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
2,780
1,500
Halafu mwongo mwingine anapayuka kuwa atajenga viwanda. Anafikiri kujenga kiwanda ni sawa na kujenga nyumba ya kawaida. Nyerere alijenga viwanda wakaviuza vyote sasa watapata wapi pesa za kujenga. Eti ambao watakuwa hawajaendeleza viwanda watanyang'anywa! Hii ni ajabu, mtu akinunua mali ana haki ya kuitumia atakavyo hata kama wameamua kufugia kuku muuzaji hana haki tena ya kile alichokiuza. Je na aliyenunua kiwanda ana haki za kunyang'anya pesa alizompa muuzaji kama anazifuja? Acheni uongo mchana kweupe! Endeleeni kupiga push ups kwani hizo ndizo sera zilizobaki!

Sasa basi inatosha kwa uongo wa ccm tuseme basi tarehe 25 kutoa kuipeleka makumbusho ya taifa ili tuweze kuwaadithia wajukuu wetu kuwa kulikuwa na jini linaitwa ccm ndilo lililoleta mashimo makubwa haya ya Buzwagi.
 
CMBO

JF-Expert Member
Oct 22, 2010
397
500
ImageUploadedByJamiiForums1443082605.832522.jpg
 
navy boi

JF-Expert Member
Mar 15, 2014
1,495
1,500
Sasa basi inatosha kwa uongo wa ccm tuseme basi tarehe 25 kutoa kuipeleka makumbusho ya taifa ili tuweze kuwaadithia wajukuu wetu kuwa kulikuwa na jini linaitwa ccm ndilo lililoleta mashimo makubwa haya ya Buzwagi.

Umekaririshwa ww

"Akija mtu Jeuri na fedhuli akakuuliza, tanzania mna nini, mjibu kwa uungwana, TUNA AMANI." - Mwl. J. K. Nyerere.

Tanzania ina amani, watanzania wanajua na dunia inajua

* Katika KUIKOMBOA Tanzania tumeshiriki kuikomboa AFRIKA, watanzania wanajua na dunia inajua
* Kwa amani hii tumejenga reli ya TAZARA, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga shule, asilimia 95 wanaenda shule, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumjenga shule kwa kila kata, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumevuta maji kutoka Lake Victoria mpaka Shinyanga, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga LAMI sehemu kubwa ya taifa letu, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tumejenga chuo kikubwa sub-saharan africa, UDOM, watanzania wanajua na dunia inajua
* Tuna uchumi unaokuwa kwa asilimia 7% KUliko nchi nyingi Duniani, watanzania wanajua na dunia inajua

HUU NI USHINDI MKUBWA KWA CHAMA CHA MAPINDUZI!

KINARA NA WAHASISI WA MAENDELEO HAYO NI CHAMA CHA MAPINDUZI

UNAWEZAJE KUDHOOFISHA LEO HISTORIA HII 

UNAWEZAJE KUONDOKA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM kwenye historia kubwa namna hii?

Tusiogope ni Historia Nzuri SANA.

Kama viongozi wetu waliopita walivyothubutu na SISI TUTHUBUTU ndio heshima ya CCM.
 
georgemwaipungu

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
2,780
1,500
kwahiyo mkuu kwa akili yako unaona ni kipi muhimu kati ya SHERIA iliyoanzishwa kulinda hifadhi za barabara zisiingiliwe na shughuli nyingine za kibinadam na hilo JENGO la tanesco?? siku nyingine ujaribu sana kuangalia mbali kabla hujaropoka

Jengo la Tanesco ni Mradi wa Serikali, inamaana wakati wanajenga hawakujua?
pili Sheria aliyoitumia ni ya mwaka 2009 je yeye ni Mwanasheria kama siyo hana washauri wa kisheria?
tatu kavunja nyumba nyingi barabara ya Morogoro kimakosa na hukumu ya Mahakama kuu imeitaka Serikali ilipe hasara hiyo. Je? Huoni kwamba uamuzi wake ulikuwa wa kukurupuka?
hafai huyo hata kidogo.
 
Mutakyamirwa

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
4,945

Maswali haya aulizwe kwenye hiyo midaharo wanayoidai.....ccm hawawezi kuwa na mgombea anayefaa...EL tunaye kuwadhihirishia Tanzania si ya ccm!
 
georgemwaipungu

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
2,780
1,500
U-umoja
K-kuvuruga
A-amani ya
WA-tanzania
ukawa ktk ubora wao,,,,tehteh!
ukiwa oyeee!!

Ukiendelea kidogo na hiyo Elimu utakuwa kama Mulugo anayesema ana Med. Lakini anasema Pemba iliungana na Zimbabwe alafu huyu ndiye Waziri wa Elimu hii ni hatari sana kwa taifa kiongozi kilaza namna hii.
Huyu mwingine anasema Saddam Hussein alikuwa rais wa Libya
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom