Recent content by EL HOMBRE

  1. E

    Dr Slaa: Nionyesheni hati ya muungano ili nami niutambue muungano!

    ndoa mbona batili kitambo hivi ss bara tunafaidika nini na muungano siupendi kabsa
  2. E

    Picha ya leo! Ingekuwa tanzania ingekuwaje?

    sijakuelewa mchambakwao! ndo nn hiyo uliyomaanisha
  3. E

    Nimeshindwa Ubunge Wa EAC, Sasa Kujipanga Upya!

    siasa haihitaji kukurupuka braza panga next time watakusikiliza may be?
  4. E

    Maombi na mafungo ya Lema yajibiwa

    kwa kweli ni ushindi hata kwenye historia tuliom anguko la tawala moja linakuja tawala lenye nguvu kila mtu ni shahidi millya tunakukaribisha kwa thati kama nayo dhamira yako ni ya dhati la sivyo tutakurudisha ulikotoka kama umetumwa,chadema nguvu ya umma inafanya kazi
  5. E

    Kumbe tangu 1985, Tz imepoteza fursa za ajira kwa asilimia 400!

    ebwana tulishapoteza mwelekeo kitambo sana
  6. E

    TRA wanavunja rekodi ya mapato: Serikali haina pesa hapo vipi?

    serikali ya wezi hiyo naona hela za kuiba zimepungua wanajaribu kuwahadaa watanzania ili waibe hata kile kile kidogo kilichopo kweli ufisadi umekithiri serikali ya kikwete
  7. E

    Sitaki tena msichana bikra!!

    kweli kaka wasumbufu kinoma mwenyewe nimekutwa na hilo
  8. E

    Halmashauri zinazoongozwa na CCM zaongoza kwa ubadhirifu

    ndo maana tunawaasa watz wajaribu upinzani waone na wao wanafanya nini kuliko kuendelea kuipa ccm nchi,na hiyo kweli kaka na tunajua hizo halmashauri mf.moshi v.ni balaa tupu
  9. E

    Kwanini nitaipenda CCM katika maisha yangu - natangaza rasmi

    pole sana maana mtaanguka anguko baya na hiyo kijani yenu,huipendi ila umekosa mwelekeo kama wao pia umeishiwa hoja mkuu
  10. E

    Mbio za kumrithi Lema zimeanza Arusha wanachama wa Chadema wajitokeza kwa wingi

    chadema hatuna wasiwasi na arusha tumeshapita
  11. E

    Nyerere katuharibu watanganganyika sera ya umoja,amani na upendo vinatufanya kuwa watumwa wa haki

    nyerere alifanya vema ila watanzania tunapaswa kujifunza suala la ujasiri wa kudai haki linatoka moyoni mwa mtu siyo la kufundishwa kwa ninachowaasa ndugu zangu siku za kusubiri zimekwisha tuamke tuikomboe nchi yetu sote tuwe wamoja tushikamane kwa nguvu ya uma tutafanikiwa
  12. E

    CHADEMA sitaki mkimbilie IKULU- 2015

    hakuna muda wa kusubiri wana CDM ujue biashara mapema mahesabu jioni 2015 tunatia timu ikulu then tunarekibisha nchi naomba tuwape saport viongozi wetu katika kuleta maendeleo watanzania hawa wanaosema 2025 wana ajenda yao
  13. E

    Mnyika anaonyesha umakini, uzalendo na kutambua lilompeleka Bungeni

    kimsingi magamba wanaendeleza siasa za kuiua nchi majibu ya matayo hajitoshelezi kabisa sasa kama tunaendelea kuwapa hawa jamaa ni dhahiri siku moja tutazikwa kabisa ndani ya ardhi yetu.
  14. E

    mikopo kwa wanafunzi wasio direct

    kiukweli nashangaa sana bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa maana kama mtu ni emloyeed na government unashindwa nini kumpa mkopo halafu uanze kukaata on the spot ili hiyo hela iweze kuwasomesha wengine kwa mfano kwa inservice 2000 unaweza kukusanya kama milioni 40 kwa mwezi kwa kuwakata elfu...
  15. E

    Ubunge Iramba Magharibi

    hongera brother kama una sifa CDM hatuna hiyana tutakuunga mkono nia yetu ni kuleta ukombozi kwa wana iramba waliochoka na siasa uchwara.go on bro
Back
Top Bottom