mikopo kwa wanafunzi wasio direct

EL HOMBRE

Member
Apr 7, 2012
20
1
kiukweli nashangaa sana bodi ya mikopo ya elimu ya juu kwa maana kama mtu ni emloyeed na government unashindwa nini kumpa mkopo halafu uanze kukaata on the spot ili hiyo hela iweze kuwasomesha wengine kwa mfano kwa inservice 2000 unaweza kukusanya kama milioni 40 kwa mwezi kwa kuwakata elfu 20000 kwenye mishahara yao kila mwezi ungeweza kusomesha wangapi kwa mshahari wa mwezi mmoja au ni kukosa kufikiri naombeni mawazo hapa
 
Nyie mna ajira bana,kakopeni bank mjisomeshe,waacheni watoto wa maskini wafaidike na loans board.over
 
Back
Top Bottom