Mbio za kumrithi Lema zimeanza Arusha wanachama wa Chadema wajitokeza kwa wingi

Rejao nawe.....!

Tunajua hizo ndiyo sera na falsafa zenu kwa muda huu.Lusinde ni reflection ya legacy na falsafa ya CCM majukwaani siku hizi. Hatuogopi kama mtaendelea kuienzi falsafa yenu hii.Ombwe la hoja CCM halina mbadala,ni lazima lizibwe kwa itikadi yenu hiyo ......lol
Ben, mi naomba niishie hapa, Albert namfahamu sana toka Ilboru, naomba nisiendelee kuongea kuhusu yeye hapa. Chamuhimu fahamu kuwa jamaa siyo mbunge material. Yupo vizuri kwenye sheria, aendelee tu na career yake. Mambo ya ubunge awaachie wengine.
 
Hizo tetesi hazina ukweli wowote. Zipuuze. Chadema akili yote ipo ktk Appeal
 
Mkuu Rejao,
Vipi zile Machinga Complex mbili na hosptal alizotoa ahadi Lema wamefikia wapi.

Lema kasema ataendelea kusomesha wanafunzi 417 wa sekondari za kata kupitia mfuko wa maendeleo ya jimbo la Arusha (ArDF). Lakini Machinga Complex na hospital kakataa kuviongelea.

Ukipiga hesabu ya kawaida Ada za shule za kata ni 1500 kwa kila mwanafunzi kwa mwaka.

1500X417=6,255,000.

Labda ungetuambia kama kuna Gamba lolote lililowahi kusomesha watoto wa maskini 400?? Magamba kazi yao kusomesha watoto wao nje (UK, US, Canada, Australia....).


Halafu hizo million sita unaziona kidogo siyo............. Hebu zitoe ili zisomeshe watato wa maskini walau kwa mwaka mmoja tuone!!
 
Mkuu JF ni jukwaa huru Invisible na timu yake sio wajinga kuyagawa majukwaa mtu yoyote anakwenda alipendalo inashangaza unataka kuwapingia watu majukwaa na thread za kuchangia...ushauri wangu kwako ni vizuri kama ungefungua forum yako upange masharti yako mkuu wangu...waache watu watiririke na majukwaa wayapendayo.
Well said mkuu...
:poa
 
Mkuu JF ni jukwaa huru Invisible na timu yake sio wajinga kuyagawa majukwaa mtu yoyote anakwenda jukwaa alipendalo inashangaza unataka kuwapingia watu majukwaa na thread za kuchangia...ushauri wangu kwako ni vizuri kama ungefungua forum yako upange masharti yako mkuu wangu...waache watu watiririke na majukwaa wayapendayo.

Well said mkuu...
:poa
Mie pia nasema well said Mkuu

Leo Magwanda yanafuraha yamejaa kila thread...ngoja nikajichimbie JF Doctor...

:poa
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa habari kutoka Arusha zinasema kuwa makada wa Chadema wametajwa kuanza kupigana vikumbo vya kuwania ubunge jimbo la Arusha mjini.

Taarifa hizo zimewataja walianza mkakati wa kuwania kuteuliwa na Chadema ni Mkurugenzi wa kampuni ya Horizon Group, Brighton Mushi, Calist Lazaro, diwani wa kata ya Levolosi Afatha Nanyaro, diwani wa kata ya Mabogini wiliyani Moshi vijijini, Albert Msando, Victor Njau, Dereck Magoma.

Kinachosubiliwa ni rufaa ya Lema, kila mmoja amekuwa akiungwa mkono na kundi lake katika mbio za kumrithi Lema wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.

Taarifa hizo zimetaja mbunge wa jimbo la Moshi mjini Phillemon Ndensamburo kumpigia debe Msando ndani na nje ya chama hicho kwa lengo la kumjenga wakati wakisubiri hukumu ya mahakama.

Lakini mkuu Ritz, kwa nini watu waanze kupigana vikumbo au wameshachungulia maamuzi yatakayotolewa na majaji kweye RUFAA NINI?
 
Labda ungetuambia kama kuna Gamba lolote lililowahi kusomesha watoto wa maskini 400?? Magamba kazi yao kusomesha watoto wao nje (UK, US, Canada, Australia....).


Halafu hizo million sita unaziona kidogo siyo............. Hebu zitoe ili zisomeshe watato wa maskini walau kwa mwaka mmoja tuone!!

Mbunge wa Ludewa Filikunjombe anatumia mshahara wake wa miaka mitano kusomesha watoto yatima 711. Na kujenga madarasa nyumba za walimu.
 
Lakini mkuu Ritz, kwa nini watu waanze kupigana vikumbo au wameshachungulia maamuzi yatakayotolewa na majaji kweye RUFAA NINI?

Mkuu Tume za katiba,
Wenyewe wanajua rufaa yao itatupwa ndio maana wameishaanza mbio hizo na Lema kaishatafutiwa ajira mpya ya kutembea na Chopa.
 
Mimi yeyote yule ili mradi anatoka chadema tu nitampa kura yangu jambo la muhimu ni kulinda kura kama tulivyowasaidia wameru moto ule ule
 
Ole Mollel nae pia yumo! Naona Majina yanatokea hai Kilimanjaro tu, magamba wakipata njeree safi itakula kwetu, amini msiamini!!.
 
Mwanasheria wa kujitegemea wa jijini Arusha, Victor Njau nimeongea naye kwa simu nimemuuliza vipi mkuu unajitosa Arusha Mjini, ananimbia naweza kugombea bado natafakari ngoja kwanza tusubiri hukumu ya mahakama.

Hiyo kazi unayoifanya ujira wako nini?ila tija kwa wana Atown?
 
Kama kawaida tatizo kubwa la Watanzania huwa tunasahau mapema mno.



Mara



Lakini









Mwingine akaomba kabisa ale ban kama Chadema ikishindwa



Lakini wa wengine waka-stick pale pale.












Rejao akaendelea kukaba.



Na kweli wana Arumeru wakaamua



Lakini mambo yalivyoanza kuwa magumu mara ghafla









Mara ghafla tena mtu mzima akaamua kwenda JF Doctor kutafuta panadol au chanjo za Profesa Maji Marefu kutuliza maumivu.



Lakini baadae ikabidi boss mwenyewe aje kumaliza mambo.



Copyright owner wa “JF is never boring” hakupendezwa na hizi pongezi



Wengine walikana kabisa kuwepo kwa utani baina ya CCM na Chadema



Na mie nikajichomokezea kiaina kutaka kujua huu utani umeanzaje



Nikajibiwa



Jf is never boring: source - The Boss

Imetulia mkuu!
 
Mkuu Rejao,
Vipi zile Machinga Complex mbili na hosptal alizotoa ahadi Lema wamefikia wapi.

Lema kasema ataendelea kusomesha wanafunzi 417 wa sekondari za kata kupitia mfuko wa maendeleo ya jimbo la Arusha (ArDF). Lakini Machinga Complex na hospital kakataa kuviongelea.

Ukipiga hesabu ya kawaida Ada za shule za kata ni 1500 kwa kila mwanafunzi kwa mwaka.

1500X417=6,255,000.

Machinga complex aka white elephant pale karume imefikia wapi?
 
Back
Top Bottom