Kwanini nitaipenda CCM katika maisha yangu - natangaza rasmi

Mpaka sasa wewe ndio umenielewa.....wengine wote naona ni wavamizi wa mada tuuuu...hongera kamanda...CDM hoyeee
Dah..leo nimepata jibu kuhusu asilimia kubwa ya WanaJF..(based on those contributed here)..HAWASOMI CONTENTS ZA POST..Kichwa cha habari kinawawehusha..Big up Mpambanaji,kama vile Shaban Robert ulivyochanganya lugha..werevu tu watang'amua
 
pole sana maana mtaanguka anguko baya na hiyo kijani yenu,huipendi ila umekosa mwelekeo kama wao pia umeishiwa hoja mkuu
 
Jamani msameheni tu mleta hii post taarifa za kiintelijensia zinasema jana alilala chumba kimoja na LIVINGSTONE LUSINDE pale TIGER MOTER area C dodoma atakua alikunwa kisawasawa.
Hapana, mwenye tabia ya kulala na wanaume wenzake chumba kimoja na mh. Mwigulu Nchemba peke yake!
 
Natangaza wazi na kwa moyo wadhati ya kwamba nitawaunga mkono na kuikubali ccm na wanachama wake wote katika maisha yangu yote baadaya ya kupoteza pumzi yangu hapa duniani....CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeee Peoples................................. kama kweli waniunga mkono.....utasema Power to All Tanzanians Haya ni maoni yangu ktka all Generation Rights...and not just Civic and Political ones.
hahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani msameheni tu mleta hii post taarifa za kiintelijensia zinasema jana alilala chumba kimoja na LIVINGSTONE LUSINDE pale TIGER MOTER area C dodoma atakua alikunwa kisawasawa.
Hujamsoma kasema ataipenda baada ya KUFA, now PeopleZzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom